Dar Ndio Imekuwa hatari hivi?

Dar Ndio Imekuwa hatari hivi?

Namshkuru Mola mimi maeneo hayo hayo mwaka jana nilivunja miguu ya vibaka wawili kwa bastola yangu
Walinitegea pale taa zinaruhusu tu akadaka kipochi cha mama yangu mdogo
Na mimi hapohapo niliivuta handbreak na kutoka nje fastaa
Nilifanikiwa kupiga wawili
Mmoja nilimpiga pajani akaanguka papo hapo wapili ilimpata kwenye msuli wa mguu akaendelea kujikongoja nikamwongezea ya pili ya kwenye paja akakaa hapo hapo
Nikaingia ndani ya gari nakuondoka huku magari kibao nyuma yangu yakinipigia honi
Ilikua mida ya saa1 magharibi hio siku sintoisahau
 
Dar ni hatari kuliko Soweto maana dar hata police wakipiga risasi kuitambua ni ngumu je ya majambazi si ndio haitajulikana kabisa...
Hivi kuna sehemu duniani hatari kuliko SA? Dar na Tz kwa ujumla haiwezi kuwa sawa na SA kwa crime.
 
Hivi kuna sehemu duniani hatari kuliko SA? Dar na Tz kwa ujumla haiwezi kuwa sawa na SA kwa crime.
Dar ni hatari sana kuliko SA kwangu Mimi maana dar vijana nawafahamu wamepigwa Risasi kwa hela Ndogo walioenda kuchukua bank na pia hazitunzwi kumbukumbu za waliookotwa wameuawa ili ikajulikana ni kiasi gani kwa sababu binadamu hawathaminiwi Tanzania hizo Nchi zingine akifa mtu lazima kelele zitokee na wauaji kukamatwa kutokana na technology yao...Dar wakiwa na Toyo tuu wanafanikiwa Nenda na toyo yako Johannesburg popote pale uone wahuni wanavyokung'ang'ania kama mpira wa kona...
 
Dar ni hatari sana kuliko SA kwangu Mimi maana dar vijana nawafahamu wamepigwa Risasi kwa hela Ndogo walioenda kuchukua bank na pia hazitunzwi kumbukumbu za waliookotwa wameuawa ili ikajulikana ni kiasi gani kwa sababu binadamu hawathamini Tanzania hizo Nchi zingine akifa mtu lazima kelele zitokee na wauaji kukamatwa kutokana na technology yao...Dar wakiwa na Toyo tuu wanafanikiwa Nenda na toyo yako Jozzi popote pale...
Haya ni maajabu ya nane ya dunia.
 
Kitu kimoja ninachojiuliza kila siku ni tunatumia fedha nyingi kuchagua viongozi wa serikali za mitaa. Hawa kazi zao ni zipi? Kwanini kila mtaa usiweke utaratibu wa usalama kwa makubaliano na wakazi wa maeneo hayo? Ilipaswa tukio linapotokea mtaa fulani viongozi wa serikali za mitaa wahojiwe ili kueleza hatua wanazochukua kiusalama. Kama mtaa unakuwa na rekodi za uhalifu mfululizo viongozi husika wachukuliwe hatua kwa uzembe kama hawana sababu za msingi. Sungusungu ilirejee badala ya kutegemea Polisi ambao hawawezi kulinda mitaa yote.
 
Namshkuru Mola mimi maeneo hayo hayo mwaka jana nilivunja miguu ya vibaka wawili kwa bastola yangu
Walinitegea pale taa zinaruhusu tu akadaka kipochi cha mama yangu mdogo
Na mimi hapohapo niliivuta handbreak na kutoka nje fastaa
Nilifanikiwa kupiga wawili
Mmoja nilimpiga pajani akaanguka papo hapo wapili ilimpata kwenye msuli wa mguu akaendelea kujikongoja nikamwongezea ya pili ya kwenye paja akakaa hapo hapo
Nikaingia ndani ya gari nakuondoka huku magari kibao nyuma yangu yakinipigia honi
Ilikua mida ya saa1 magharibi hio siku sintoisahau
Duh hii ni kweli mkuu?Ngoja tufanye sio chai ya asubuhi mkuu.Kweli utakuwa shujaa sana!
 
Dar ni hatari sana kuliko SA kwangu Mimi maana dar vijana nawafahamu wamepigwa Risasi kwa hela Ndogo walioenda kuchukua bank na pia hazitunzwi kumbukumbu za waliookotwa wameuawa ili ikajulikana ni kiasi gani kwa sababu binadamu hawathamini Tanzania hizo Nchi zingine akifa mtu lazima kelele zitokee na wauaji kukamatwa kutokana na technology yao...Dar wakiwa na Toyo tuu wanafanikiwa Nenda na toyo yako Jozzi popote pale...
Siini kama kweli tunajadili crime between SA na Tz let alone Joz na Dar.
According to WorldAtlas SA katika miji 10 inayoongoza kwa uhalifu SA ina miji sita. Mji wa EA ni Nairobi tu ambayo ni ya 10. Miji mingine ni Benghazi,Lagos,Luanda. Iliobaki sita ni ya SA.
Screenshot_2018-03-31-07-23-47.png
Screenshot_2018-03-31-07-24-34.png
Screenshot_2018-03-31-07-24-25.png
Screenshot_2018-03-31-07-24-10.png
Screenshot_2018-03-31-07-24-01.png
 
Eneo hilo la mkuki house hadi kamata ni hatari sana hata mchana.
 
Namshkuru Mola mimi maeneo hayo hayo mwaka jana nilivunja miguu ya vibaka wawili kwa bastola yangu
Walinitegea pale taa zinaruhusu tu akadaka kipochi cha mama yangu mdogo
Na mimi hapohapo niliivuta handbreak na kutoka nje fastaa
Nilifanikiwa kupiga wawili
Mmoja nilimpiga pajani akaanguka papo hapo wapili ilimpata kwenye msuli wa mguu akaendelea kujikongoja nikamwongezea ya pili ya kwenye paja akakaa hapo hapo
Nikaingia ndani ya gari nakuondoka huku magari kibao nyuma yangu yakinipigia honi
Ilikua mida ya saa1 magharibi hio siku sintoisahau
Aisee una roho ngumu
 
Pole sana Jackal and others. Get well soon. It's sad that it happened in an area which is supposed to have police patrol. We have be extra careful in all areas.
 
Kuna siku nilikuwa natoka kumpokea mtu airport ndege ilifika saa tatu hadi kuondoka pale ilikuwa saa nne hivi. Tulivyoondoka kuna taxi nayo ilibeba wazungu wameshuka na ndege hio hio tukawa tunaongozana. Wao walikuwa wameacha vioo wazi.
Kufika hapo Kamata tumesimama kwenye traffic lights wakatokea vijana kama nane hivi wakawavamia na kuwapora vitu, process ilichukua kama dakika mbili tu wale vijana wakatokomea upande ambao sasa ipo Mkuki Mall.
Kosa la hawa watu ni kuacha vioo wazi na kuto-lock milango baaasi.
Hivi ukitembea mwendo fulani milango si huwa inajilock?... Au sio gari zote?
 
Pole sana mkuu eneo la mataa ya kuelekea veta keko na kuelekea uwanja wa karume hadi kwenye mataa ya kamata sio salama.
Ukiwa na gari pandisha vioo watoto wa laana wengi sana siku moja kuna jamaa kaacha gari lake kioo wazi wakam mwagia mikojo kwenye gari
Haaaa haaaa sasa hiyo si roho mbayaaa?
 
Mbona unaleta vitu vya kipuuzi? How sure you are that police do not care?
In which country on this earth do such things never happen, are there no police men in those countries??
Police siku hizi wamekuwa wa hovyo sana mkuu. Usibishe
 
Back
Top Bottom