Dar Ndio Imekuwa hatari hivi?

Dar Ndio Imekuwa hatari hivi?

Hello family and friends.. On our way back from.changombe we were attacked by robbers at kamata traffic lights, near mkuki mall. Luckily, we managed to escape. Please everybody be careful everyone

Members should spread this to friends and families

This happened at 10pm today 27th March 2018View attachment 729629
 
Pole sana.
Nasikia panya road wamerejea...!!!!
 
Na wengine waliokuwepo walikuwa wanashangaa kama unavyoshangaa wewe
Nilikua bado mgeni kipindi iko nilijaribu kumsaidia lakini yule kibaka alikimbia
Yule jamaa aliekabwa aliniambia ndio zao akaenda kushitaki

Kuna siku nyingine alikuja mmoja kwenye duka langu nikamchapa makofi kesho yake wakaja kikundi kunifanyia vurugu.
 
Aisee hii kitu ilitutokea kitunda, vijana k10 wenye mapanga, wa4 nje sita ndan, ..walisearch room moja moja, wakiona nguo handbag na chochote knachowafaa wanabeba...Banat nzur mm ni ke walinipiga na mabapa tu mwil ukawa umevilia damu, wanaume walichezea panga kwenye makali,wakabeba TV,PlayStation ,radio na vtu vdogo vdogo..cjui ata wanafunguaje geti ila mlango waliuvunja.....tulipiga kelele lakn wapi hawakuogopa
Bibi uliumia?
 
Umemuonea.... hii itasaidia wengine, sasa kama unaona haina maana kwako kwa nini usinyamaze tu?
Umenena sahihi kabisa. Mwenzetu amepata janga na sisi kama waungwana tunapaswa kumpa pole. Hakupenda limtokee yeye na amefanya vyema kabisa kutujulisha sisi wanajamii ili nasi tuchukue tahadhari hasa kipindi hiki cha sikukuu. Masuala ya kibaguzi yalishapitwa na wakati na inashangaza watu wengine mpaka leo wanayaendekeza. Ubinadamu hauna rangi wala kabila. Utu ni utu tu na lazima tuuheshimu hata kama ni mtanzania mwenye asili ya kiasia au la. Tusirudi nyuma na kuanza kupima utu kulingana na rangi ya ngozi. Dunia ilishatoka huko kitambo.
 
Kwahio hayo yote uliyosema yanaiondoa SA na miji yake kuwa hatari. Crime rate sio hisia zako wala zangu. Ni facts zibazotakana na uhalifu. Hayo yote ulioorodhesha ni crimes kubwa na zinaifanya SA na miji yake kuwa hatari kuliko Tz
acha uongo.
watu tupo S.Africa tunaishi safi kabisa
 
Back
Top Bottom