Dar-moshi naomba kufahamishwa

KWI KWI

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
286
84
Wana JF,
Ninategemea kusafiri kesho kwenda MOSHI kutokea Dar es salaam.
Naomba kujua Nauli,Basi zuri na mwendo salama la kupanda.Na muda nitakao tumia.
Pia Moshi...sehemu confortable kwaajili ya malazi.....
Asante sana.Mungu awape baraka tele.
 
karibu moshi msee,nenda pale jangwani kule zile fuso zinazoleta ndizi kutoka moshi,nafikiri zile utafika salam,achana na mabasi baba!
 
Mtorii...nipo serious ndugu yangu.Usifanye ivyo.
 
Wana JF,
Ninategemea kusafiri kesho kwenda MOSHI kutokea Dar es salaam.
Naomba kujua Nauli,Basi zuri na mwendo salama la kupanda.Na muda nitakao tumia.
Pia Moshi...sehemu confortable kwaajili ya malazi.....
Asante sana.Mungu awape baraka tele.

Mkuu kamata Dar Express....bei haizidi 30,000. Jamaa wako proffessional. Ukikosa kamata Kilimanjaro.....
 
Pa kulala ndugu yangu....kama unapajua maeneo hayo.Asante sana Asprin-Be blessed.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom