Dar: Mkuu wa Mkoa, Amos Makala aagiza Mabasi yote kushushia abiria Stand ya Mbezi

Bongo shida sana toka walipoongeza bei ya mafuta ya taa ili watu wasichakachukue nikajua tuu kila siku zinapokwenda uwezo wetu wa kufikiri unapungua mno ngoja niendelee kusikia matamko tuu...
 
Huyu ni mjinga na mpumbavu, asitoe maagizo bila yeye mwenyewe kufanya jaribio la kusafiri na bus toka mikoani akiwa na mizigo mingi na watoto wadogo, uwepo wa hiyo stand na miundombinu isiyokamilika unasababisha adha kubwa sana kwa abiria hasa wa kipato cha chini...
Uko sawa kabisa, hatuhitaji watawala bali viongozi wanaotafakari na kutumia elimu yao kuondoa kero na si kuongeza matatizo kisa yeye yupo ndani ya V8.Atafakari tena kwa kina maagizo yake, aache kudemka.
 
Yaani nimepana Luxury Bus nifike stendi nishuke na mizigo nikatafute Daladala kuja mjini?

Hawa Watu kwa kuwa wao wanatumia Magari binafsi wanaongea tu chochote wanachojisikia.
Na huyo anaitwa msomi, yupo Dar, jiji lililosheheni wataalamu, wawekezaji, vyuo vikuu, taasisi za usafirishaji na uchukuzi NIT ikiwemo, angewashirikisha hao wote wangemfungua akili atoke kwenye box.

Kama anakunywa pombe angesubiri itoke kichwani kabla ya tamko, kama hanywi pombe basi akapimwe urine
 
Uko sawa kabisa, hatuhitaji watawala bali viongozi wanaotafakari na kutumia elimu yao kuondoa kero na si kuongeza matatizo kisa yeye yupo ndani ya V8.Atafakari tena kwa kina maagizo yake, aache kudemka.
Asante Mkuu
 
Sasa Mheshimiwa Makalla, mfano: sisi tunaoishi Mbagala tumepanda basi la kutoka Mtwara au Songea, ina maana tufike Mbezi Louis tushuke halafu tutafute daladala ya kurudi Mbagala?

Ukumbuke mabasi mengine yanaingia Dar usiku.

Haya mateso yote ya nini?
Uongozi ni kuvaa viatu vya wale unaowaongoza, onja machungu yao, yatafutie solution.
 
Chama cha kutetea Abiria kiitishe mkutano wa dharura na Waziri, Wenyemabasi na Serikali ya Mkoa.

Abiria nikishuka kwenye basi saa mbili usiku wala sina shida ya kula kwa Mamantilie.

Hilo la Wahamiaji Haram ni tatizo lao Serikali watumie mbinu nyingine si kubebesha Raia mzigo wa wao kutotumia akili.

Hilo tamko halina mashiko hata kidogo.
 
Huwezi tegemea matokeo chanya ndani ya Ccm tusahau upumbavu utaenderea mpaka mpaka Mabadiliko ni lazimaaaaaaa
 
Chama cha kutetea Abiria kiitishe mkutano wa darura na Waziri, Wenyemabasi na Serikali ya Mkoa.

Abiria nikishuka kwenye basi saa mbili usiku wala sina shida ya kula kwa Mamantilie.

Hilo la Wahamiaji Haram ni tatizo lao Serikali watumie mbinu nyingine si kubebesha Raia mzigo wa wao kutotumia akili.

Hilo tamko halina mashiko hata kidogo.
Mama aingilie kati, wateule wake wanamdhalilisha, hiyo ni ishara kuwa aliyewateua naye ana akili kama hizo za kuwaongezea mateso na machungu wananchi ambao wengi wao ni low class
 
Tena kipindi kama hiki cha Kovid badala ya kutafuta mbinu za kuepuka mirundikano yeye ndio kwanza anavutia mirundikano.

Watu wakishukia maeneo tofauti si ndio afadhali, ama?.
 
Au kwa mfano nimetoka Arusha na BM kufika Mbezi kituoni limeshusha abiria na likitoka hapo linaelekea kwenye ofisi zao zilizopo Shekilango,nami naishi Manzese.
Je hawaruhisiwi kuja kunishusha Shekilango?.
Ni lazima nishukie Mbezi?.
Hawaruhusiwi ndio....

Huu utaratibu niliukuta Dodoma nilipoenda mwezi wa 5, yani abiria woote mnashushwa stand ya nanenane kisha basi linaenda mjini likiwa tupu.
 
Kwanini ma DC na ma RC wa sasa mbona wanasumbua kuliko wale wale wazamani?
Fikiria hivi sasa dunia inakwenda kwa kasi sana, mtu anatoka Morogoro mapema sana asubuhi kwa lengo la kununua mzigo na kurudi Morogoro, anafika Mbezi anashushwa, anatumia dakika kadhaa kusubiri daladala na kuigombania, akipata anaanza kuelekea mjini huku daladala ikisimama kila kituo, anafika mjini akishamaliza shughuli zake akodi kilikuu toka Kkoo hadi Mbezi kwa gharama kubwa wakati angefika Mbezi, anasubiri dakika chache basi lishushe abiria, kisha anaunga nalo hadi mjini, akifunga mzigo anarudi nao mpaka Shekilango kwa ghrama nafuu, anapakia kwenye bus hadi Mbezi bila usumbufu wa kugombana na makuli.
  1. Mwananchi anaokoa muda
  2. Anapunguza usumbufu
  3. Anaokoa gharama na ku maintain bei ya bidhaa yake sokoni
 
Tena kipindi kama hiki cha Kovid badala ya kutafuta mbinu za kuepuka mirundikano yeye ndio kwanza anavutia mirundikano.

Watu wakishukia maeneo tofauti si ndio afadhali amas.
Akili yake ipo kwenye suruali
 
Fikiria hivi sasa dunia inakwenda kwa kasi sana, mtu anatoka Morogoro mapema sana asubuhi kwa lengo la kununua mzigo na kurudi Morogoro, anafika Mbezi anashushwa, anatumia dakika kadhaa kusubiri daladala na kuigombania, akipata anaanza kuelekea mjini huku daladala ikisimama kila kituo, anafika mjini akishamaliza shughuli zake akodi kilikuu toka Kkoo hadi Mbezi kwa gharama kubwa wakati angefika Mbezi, anasubiri dakika chache basi lishushe abiria, kisha anaunga nalo hadi mjini, akifunga mzigo anarudi nao mpaka Shekilango kwa ghrama nafuu, anapakia kwenye bus hadi Mbezi bila usumbufu wa kugombana na makuli.
  1. Mwananchi anaokoa muda
  2. Anapunguza usumbufu
  3. Anaokoa gharama na ku maintain bei ya bidhaa yake sokoni
Hayo mambo matatu nafikiri ndio hayatakawi mwananchi ayapate,bali kinyume chake!.
 
Ina maana ukishaingia mkoa unaoitwa Dar es Salaam tu, kituo cha kushukia ni mbezi tu.
 
Aidha RC Makalla ameelekeza uongozi wa Stendi hiyo kuweka utaratibu wa baadhi ya Mabasi kushusha abiria kwenye eneo la kulaza magari ambapo kuna Banda la Mamalishe ili kuchochea biashara.
Yeye na wasaidizi wake ndiyo wawe wanakwenda kula hapo kwa hao mamalishe
 
Huyu ni mjinga na mpumbavu, asitoe maagizo bila yeye mwenyewe kufanya jaribio la kusafiri na bus toka mikoani akiwa na mizigo mingi na watoto wadogo, uwepo wa hiyo stand na miundombinu isiyokamilika unasababisha adha kubwa sana kwa abiria hasa wa kipato cha chini, wengi wao wakiwa ni akina mama, abiria hao wanaingia gharama kubwa kukodi matoroli na kuvusha mizigo na watoto kutoka stand kuu kwenda stand ya daladala ambayo nayo imejaa vuruguna usumbufu kutoka kwa wapiga debe, mazingira ya hizo stand mbili siyo rafiki kabisa kwa low income earners, yametengenezwa kuwanyonya watu wa tabaka la chini na kuwafavour wafanyabiashara.

Ningemuona huyo RC ana akili iwapo angesafiri kwa daladala toka mjini hadi hapo Mbezi halafu apande bus alfajiri akiwa na mizigo na watoto wadogo, kisha jioni arejee toka mkoani akiwa na watoto na mizigo, ashuke hapo avuke barabara, atafute usafiri wa daladala kwenda mjini, baada ya hapo atumie experience hiyo kutoa matamko, vinginevyo atakuwa amefanya upumbavu mkubwa mno kutoa maamuzi bila kujionea hali halisi ilivyo hapo stand.

Matamko aliyotoa ni ya kipumbavu na kijinga kabisa, amekosa ubunifu wa kuwabaini wahamiaji haramu, badala yake anatafuta njia rahisi ya kukidhi haja yake bila kujua mateso wanayopata wananchi masikini. Huu ni ujuha wa kiwango cha juu kabisa, wenye mabasi wamekuwa wakiwapa unafuu wasafiri wanaokwenda mjini kwasababu ya adha zilizopo hapo stand, yeye anaongeza shida juu ya shida badala ya kutafuta mbinu ya kuwakabili wahamiaji haramu anawakabili wananchi masikini wenye kipato duni kabisa. Atambue kwamba ukuu wa mkoa ni kuumiza kichwa, siyo kulala na kufikiria pombe, ukuu wa mkoa ni kufikiria namna bora za kuwapa unafuu wananchi, maagizo aliyotoa ni ya kuwatesa wananchi.
Anajua watu wanoa
Ishi mbagala chamanzi Twangoma
Wanavyoteseka na ilo stendi ya Mbezi
Wanao taabika ni Pato la chini mtu mmoja ananiambia akitoka safari anafika dar uck sana na gari likishusha Shekilango akichukia tax mpaka chamanzi ni 35000 mpaka Sasa mfikirie huyo akishushiwa mbezi usiku atalipa kiasi gani viongozi kuwen na huruma
 
Back
Top Bottom