Dar: Mkuu wa Mkoa, Amos Makala aagiza Mabasi yote kushushia abiria Stand ya Mbezi

Lakini jamani nafikiri ni kwa kipindi sasa, wote mnajua Tz imekuwa ni nchi ya kutolewa maagizo na viongozi, bila kuweka sheria au mipango na mikakati ya madhubuti kutatua changamoto husika, na hayo nafikiri muendelezo tu....Kwa hivyo labda msilalamike sana kuhusu hayo yanayojiri........na kazi iendelee.
 
Huyu ni mjinga na mpumbavu, asitoe maagizo bila yeye mwenyewe kufanya jaribio la kusafiri na bus toka mikoani akiwa na mizigo mingi na watoto wadogo, uwepo wa hiyo stand na miundombinu isiyokamilika unasababisha adha kubwa sana kwa abiria hasa wa kipato cha chini, wengi wao wakiwa ni akina mama, abiria hao wanaingia gharama kubwa kukodi matoroli na kuvusha mizigo na watoto kutoka stand kuu kwenda stand ya daladala ambayo nayo imejaa vuruguna usumbufu kutoka kwa wapiga debe, mazingira ya hizo stand mbili siyo rafiki kabisa kwa low income earners, yametengenezwa kuwanyonya watu wa tabaka la chini na kuwafavour wafanyabiashara.

Ningemuona huyo RC ana akili iwapo angesafiri kwa daladala toka mjini hadi hapo Mbezi halafu apande bus alfajiri akiwa na mizigo na watoto wadogo, kisha jioni arejee toka mkoani akiwa na watoto na mizigo, ashuke hapo avuke barabara, atafute usafiri wa daladala kwenda mjini, baada ya hapo atumie experience hiyo kutoa matamko, vinginevyo atakuwa amefanya upumbavu mkubwa mno kutoa maamuzi bila kujionea hali halisi ilivyo hapo stand.

Matamko aliyotoa ni ya kipumbavu na kijinga kabisa, amekosa ubunifu wa kuwabaini wahamiaji haramu, badala yake anatafuta njia rahisi ya kukidhi haja yake bila kujua mateso wanayopata wananchi masikini. Huu ni ujuha wa kiwango cha juu kabisa, wenye mabasi wamekuwa wakiwapa unafuu wasafiri wanaokwenda mjini kwasababu ya adha zilizopo hapo stand, yeye anaongeza shida juu ya shida badala ya kutafuta mbinu ya kuwakabili wahamiaji haramu anawakabili wananchi masikini wenye kipato duni kabisa. Atambue kwamba ukuu wa mkoa ni kuumiza kichwa, siyo kulala na kufikiria pombe, ukuu wa mkoa ni kufikiria namna bora za kuwapa unafuu wananchi, maagizo aliyotoa ni ya kuwatesa wananchi.
Mkuu
Ili Stand ya mabasi iwe karibu na kila mkazi wa Dsm...ilitakiwa ijengwe wapi?
 
Siyo muda mrefu hilo agizo litatenguliwa aidha na yeye au mkuu wake
Katika wapumbavu, huyo RC ni wa kwanza, hivi hajui kuwa tatizo la usafiri wa daladala limepunguzwa na hayo mabasi?
Hivi hajui kwamba angeweza kuwatumia askari wa uhamiaji kudhibiti tatizo analolitaja bila kuwaathiri wananchi?
Hivi hajui anawaadhibu wananchi kwa makosa ya watu wengine?
Hivi hajui kuwa amezalisha tatizo juu ya tatizo?
Hivi amefanya lini utafiti kabla hafikia hayo maamuzi?
Kama amefanya utafiti wowote, je amewashirikisha wadau ambao ni wananchi?
Huyu ni RayC siyo RC kabisaaa!
 
Kama lengo ni kudhibiti wahamiajai haramu bado nafikiri lengo halitatimia maana mimi kama mhamiaji haramu si ninaweza shukia Mlandizi/Mkuranga/Bagamoyo/Msata na kupanda daladala itakayonifikisha niendapo?
 
Huyu ni mjinga na mpumbavu, asitoe maagizo bila yeye mwenyewe kufanya jaribio la kusafiri na bus toka mikoani akiwa na mizigo mingi na watoto wadogo, uwepo wa hiyo stand na miundombinu isiyokamilika unasababisha adha kubwa sana kwa abiria hasa wa kipato cha chini, wengi wao wakiwa ni akina mama, abiria hao wanaingia gharama kubwa kukodi matoroli na kuvusha mizigo na watoto kutoka stand kuu kwenda stand ya daladala ambayo nayo imejaa vuruguna usumbufu kutoka kwa wapiga debe, mazingira ya hizo stand mbili siyo rafiki kabisa kwa low income earners, yametengenezwa kuwanyonya watu wa tabaka la chini na kuwafavour wafanyabiashara.

Ningemuona huyo RC ana akili iwapo angesafiri kwa daladala toka mjini hadi hapo Mbezi halafu apande bus alfajiri akiwa na mizigo na watoto wadogo, kisha jioni arejee toka mkoani akiwa na watoto na mizigo, ashuke hapo avuke barabara, atafute usafiri wa daladala kwenda mjini, baada ya hapo atumie experience hiyo kutoa matamko, vinginevyo atakuwa amefanya upumbavu mkubwa mno kutoa maamuzi bila kujionea hali halisi ilivyo hapo stand.

Matamko aliyotoa ni ya kipumbavu na kijinga kabisa, amekosa ubunifu wa kuwabaini wahamiaji haramu, badala yake anatafuta njia rahisi ya kukidhi haja yake bila kujua mateso wanayopata wananchi masikini. Huu ni ujuha wa kiwango cha juu kabisa, wenye mabasi wamekuwa wakiwapa unafuu wasafiri wanaokwenda mjini kwasababu ya adha zilizopo hapo stand, yeye anaongeza shida juu ya shida badala ya kutafuta mbinu ya kuwakabili wahamiaji haramu anawakabili wananchi masikini wenye kipato duni kabisa. Atambue kwamba ukuu wa mkoa ni kuumiza kichwa, siyo kulala na kufikiria pombe, ukuu wa mkoa ni kufikiria namna bora za kuwapa unafuu wananchi, maagizo aliyotoa ni ya kuwatesa wananchi.
Point lakini lugha kaliiiii
 
Nadhani hizi nafasi za uRC na uDC zina shida mahali.. Kama hazijalaaniwa basi zina maruhani.. Mtu akishakalia hicho kiti kurukwa na akili na kuongea mazonge anapokuwa mbele ya cameras ni jambo la dakika
Katiba mpya alafu ipate msimamia Sheria Kama bwana masase 16 nahisi nchii itanyooka
 
Ni jambo jema kwakuwa
  1. Inampa unafuu msafiri kutohangaika na mizigo mara mbili au zaidi
  2. Daladala ni za kugombania sana, hivyo wasafiri kuendelea na safari kwenda mjini inapunguza usumbufu wa kugombea daladala
Ndio hivyo mkuu.

Makala hapa kaingia chaka tamko haliwezi kutekelezwa
 
Huyu ni mjinga na mpumbavu, asitoe maagizo bila yeye mwenyewe kufanya jaribio la kusafiri na bus toka mikoani akiwa na mizigo mingi na watoto wadogo, uwepo wa hiyo stand na miundombinu isiyokamilika unasababisha adha kubwa sana kwa abiria hasa wa kipato cha chini, wengi wao wakiwa ni akina mama, abiria hao wanaingia gharama kubwa kukodi matoroli na kuvusha mizigo na watoto kutoka stand kuu kwenda stand ya daladala ambayo nayo imejaa vuruguna usumbufu kutoka kwa wapiga debe, mazingira ya hizo stand mbili siyo rafiki kabisa kwa low income earners, yametengenezwa kuwanyonya watu wa tabaka la chini na kuwafavour wafanyabiashara.

Ningemuona huyo RC ana akili iwapo angesafiri kwa daladala toka mjini hadi hapo Mbezi halafu apande bus alfajiri akiwa na mizigo na watoto wadogo, kisha jioni arejee toka mkoani akiwa na watoto na mizigo, ashuke hapo avuke barabara, atafute usafiri wa daladala kwenda mjini, baada ya hapo atumie experience hiyo kutoa matamko, vinginevyo atakuwa amefanya upumbavu mkubwa mno kutoa maamuzi bila kujionea hali halisi ilivyo hapo stand.

Matamko aliyotoa ni ya kipumbavu na kijinga kabisa, amekosa ubunifu wa kuwabaini wahamiaji haramu, badala yake anatafuta njia rahisi ya kukidhi haja yake bila kujua mateso wanayopata wananchi masikini. Huu ni ujuha wa kiwango cha juu kabisa, wenye mabasi wamekuwa wakiwapa unafuu wasafiri wanaokwenda mjini kwasababu ya adha zilizopo hapo stand, yeye anaongeza shida juu ya shida badala ya kutafuta mbinu ya kuwakabili wahamiaji haramu anawakabili wananchi masikini wenye kipato duni kabisa. Atambue kwamba ukuu wa mkoa ni kuumiza kichwa, siyo kulala na kufikiria pombe, ukuu wa mkoa ni kufikiria namna bora za kuwapa unafuu wananchi, maagizo aliyotoa ni ya kuwatesa wananchi.

unabaki kusema mpumbavu na mjinga najua unaogopa kutukana

anafr...msng xxxh*##&@-+#??! nyok zake
 
Ndio hivyo mkuu.

Makala hapa kaingia chaka tamko haliwezi kutekelezwa
Huyo hajitambui, anategemea ushauri wa baadhi ya watu wanaonufaika na huo usumbufu, lakini anasahau "kuchanganya za kuambiwa na zake" kuna watu wanaweza kumshauri vibaya ili kumng'oa kwenye nafasi hiyo.
 
Back
Top Bottom