wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,131
Nyinyi ndiyo wahamiaji haramu mnaosemwa.Sasa Mheshimiwa Makalla, mfano: sisi tunaoishi Mbagala tumepanda basi la kutoka Mtwara au Songea, ina maana tufike Mbezi Louis tushuke halafu tutafute daladala ya kurudi Mbagala?
Ukumbuke mabasi mengine yanaingia Dar usiku.
Haya mateso yote ya nini?