Hivi wewe umewahi kusafiri nchi za wenzetu uone usafiri ulivyo ukishuka toka mikoani, dala dala zetu zina nafasi ya mtu mwenye begi au mabega.Mkuu hujawahi kusafiri?.
Mikoa mingine baadhi kuna huu utaratibu wa abilia wote kushukia kituo kikuu, isipokuwa kwa masaa ya usiku ambapo huduma ya usafiri mwingine as daladala haupo.
Pia hiyo siyo sheria ya mkuu wa mkoa NO ni utaratibu upo kwenye transportation contract and agreements, hivyo mkuu wa mkoa mnampiga jiwe kimakosa.
Asubuhi kama unaanzia gongolamboto au kigamboni hakuna shida ila basi lifike pale Magufuri bus station then ondokeni mnakokwenda, jioni pia ingieni pale shukeni wote, chukua tax, bajaj, toyo au matatuu then nenda kwa nyumbani kwako.
Suala is toyo, bajaj, n.k linatakiwa iwe uamuzi wa kusafiri na sio shurti na kiongozi.
N.a. zaidi ya hapo umbali wa kukodi hiyo toyo, bajaj n.k upo sawa. Mbezi kwenda mbagala, tegeta n.k ni shs ngapi .
Wakati hapo kuna gharama kama hizo alipotoka nyumbani kwenda stand, nauli ya basi mfano toka Dodoma kwenda Dar, 25,000.00 , chakula njiani 7000.00, ufike Dar ule kwa Mama lishe 3000.00 , halafu uchukue toyo mpaka ulipofikia 10000 au zaidi na kurudi ni hivyo hivyo.
Na hapo ni mtu moja katika familia. Sasa uwe na mke na watoto wawili