Ameijenga kwa muda mrefu akipata kidogo akanunue matofaliKama unasema uwanja familia yake waliupata zamani sawa, ila hii nyumba inaonekana imejengwa juzijuzi haina miaka mingi kama hiyo unayosema.
Ameijenga kwa muda mrefu akipata kidogo akanunue matofaliKama unasema uwanja familia yake waliupata zamani sawa, ila hii nyumba inaonekana imejengwa juzijuzi haina miaka mingi kama hiyo unayosema.
Taratibu tutaanza elewana kuwa tz hata wanaoambiwa na elimu ni makanjanja, nyuo vinafunisha ujinga mtupu. Ndio maana hawaoni thamani ya kitu chochote.Huo ukatili kila mhali upo, hata wanavyofelishana shule bila kujali hela za serikali na maisha ya mwanafunzi, wakuu wa wilaya ni wahuni tuu, wanatumia polisi hata ktk issue za kugombea mademu, na dili za kukomoa watu,wakiwepo watu waliojijenga zaidi yao na hivyo kuwa wapinzani wao.Watanzania ni wakatili sana kuliko Nchi nyingi nikizopita swala si wangewaambia watoe Mali zao wabomoe Nyumba...jirani zangu hapa wanatuita Boko haramu kwa ukatili unaofanywa Tanzania...
Ameandika katika Mitandao ya kijamii:
View attachment 599579
Mimi ni mmoja wa wahanga wa hili zoezi la kubomolewa nyumba zetu huku Mbezi Kimara Tarehe 29/9/ 2017.
Jana nikiwa katika majukumu jimboni Mikumi Majira ya saa kumi mbili hivi jioni, nilitaarifiwa kwamba, watu wa Tanroads wakiwa wameambatana na grader mbili na magari mawili ya polisi (defenders) yenye askari waliokuwa na silaha mbalimbali za moto walikuwa wanabomoa nyumba yangu.(sijawahi kuumia kiasi hiki ).
Nimesikitishwa sana jinsi Tanroads wanavyoweza kujichukulia maamuzi bila ya kujali mhimili muhimu wa Mahakama wametoa maagizo gani. Na taratibu zilizotumiwa kubomoa nyumba yangu bila ya mimi na Tanesco kupewa taarifa saa kumi na mbili jioni (haukuwa muda wa kazi). Poa kubomoa nyumba huku Umeme ukiwa unawaka ni kitendo ambacho kwanza kina hatarisha maisha ya wabomoaji wenyewe, maisha ya familia yangu pamoja na majirani zangu, LIMENISIKITISHA zaidi.
Nasema hivi kwasababu Tanesco wamenipigia simu baada ya masaa 24 au zaidi baada ya zoezi la kubomoa nyumba kufanyika kunitaarifu kuja kukata Umeme kabla ya ubomoaji huo, pindi nilipo waambia kwamba mbona nyumba IMESHABOMOLEWA kabisa na sijaweza kuokoa kitu chochote na hata hiyo meter yenu mnayoiulizia mkaitafute kwenye kile kifusi cha nyumba yangu kilichokusanywa kwa pamoja na watu wa Tanroads. Tanesco walishangazwa sana kuvunjwa nyumba yangu kwa taratibu hizo.
Lakini naamini kila kitu kinatokea kwa sababu maalum. Nimejifunza kumtegemea Na kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Na hili ni moja ya mitihani ya hapa duniani. Nimepokea na kumsikiliza Mungu ana mipango gani juu yetu katika familia yangu mbeleni. Tumelipokea na Naamini tutashinda .
Mbona National housing wanajenga. Sio kweli, anajenga piaHuyu bwana hadi muda wake uishe atakuwa ameua watu wengi sana kwa presha kwa kuibomoa tanzania.
Na kibaya zaidi Huyu bwana yeye anacho jua ni kubomoa tu.
Kwa nini wasijenge barabara za juu?There is no cheap development.
Hata wewe unataka barabara ya njia nne
...maninizako kifutu wa lumumba mgombea ...bo za waume wa watuLazima mliokuwa mnaishi kama malaika muishi kama mashetani.
Tanzania mpya naiona inakuja kwa mbali
unajibu kama vile unaangalia bongo muvi... mfyuuuuuuuuuuuuprof, acha tu uisome namba na wewe, by the way wewe ni mbunge utajenga nyingine. mkiwa huko bungeni muwe mnawafikiria maskini wa nchi hii wanavyoteseka.
kuna waliofukuzwa kazi kwa uonevu, kuna waliofilisiwa biashara zao, walionyang'anywa mashamba n.k, ninyi mpo kimya hatusikii kabisa mkisema chochote..
kwa kweli hakuna namna, "wacha waisomee nambaa eeh, wajinga wale.." just singing, lol
wewe mwalla, hujamboo? acha na yeye aonje machungu wanayoyapata wananchi masikini wanaoteseka kila siku. kuna watu wanaishi kama mashetani sasahivi kwa uovu, hawa mabwana hatuwasikii wakienda mahakamani kuwasaidia. wanakula bata tuuuu
unajibu kama vile unaangalia bongo muvi... mfyuuuuuuuuuuuu
mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu anaesababisha hayo matatizo unajifanya humjuiwewe mwalla, hujamboo? acha na yeye aonje machungu wanayoyapata wananchi masikini wanaoteseka kila siku. kuna watu wanaishi kama mashetani sasahivi kwa uovu, hawa mabwana hatuwasikii wakienda mahakamani kuwasaidia. wanakula bata tuuu
ndugu mwalla acha jazba. hawa wabunge wameshindwa kufanya chochote ili kunusuru mateso hayo? kweli? kuna haja gani sasa ya kuwa na wapinzani ambao wameufyata. acha tu waisome namba na wao, labda akili zitawarudimfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu anaesababisha hayo matatizo unajifanya humjui
Lazima mliokuwa mnaishi kama malaika muishi kama mashetani.
Tanzania mpya naiona inakuja kwa mbali
Mjombahiv ww,umepita hio barabara ukaona nyumba zilizovunjwa kutoka mbali?au unaongea tu kwa kua upo kwako hapo.
vp imebomolewa nyumba ya prof jizzo peke yake.....
......VISASI NA ROHO MBAYA