Dar: Mbunge wa jimbo la Liwale(CUF) Zuberi Kuchauka atangaza kujiuzulu na kuhamia CCM

Kuna kampeni mbaya kuifilisi nchi kwa kisingizio cha kuhama vyama. Si wasubiri miaka hii miwili? Kuna hujuma hapa!
 
Pls unaonekana wewe huelewi kabisa kitu hapa, upizani ununue wabunge na NINI, hawa wabunge wa upizani ujue wananunuliwa na hela za walipa kodi wa tz, na wanaambiwa ccm itatumia MAMBAVU kuwarudisa mbunge, na pia uelewa ccm ina POLICY, STRATEGY au nini ndio hao wabunge wahamie ccm. hao wabunge wote ni NJAA TUPU na kutohesimu katiba
Kwa hiyo wabunge wa upinzani ndiyo wababaishaji!
 
Kindly assist me to raise my school fees.
I am at Machakos University (Kenya) Pursuing Bachelor of Arts under the school of humanities and social sciences. Thanks in advance.
 
Back
Top Bottom