Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Mkuu

Novels ilikua part muhimu sana ya jamaa....hakuna novel hana...na alikua anaazimisha hana uchoyo

Hakuna kanda yeyote ya mwanamuziki/rapper yeyote ukitaka aache kukuletea

Sio movie,sio games,sio magazines.....wapenda bata kampani ya jamaa ilikua legendary

Na mafujo alikua hana,watu wamemiss interpreat hii misfortune iliyotokea

Na kumbuka kipindi hicho ni 1990's jamaa alikua just 14 years child

Just imagine.....hakuna connection unayoitaka Alex ashindwe kuku-link,na alikua mtoto kipindi hicho

Na ukubwani nasikia hadi mawaziri alikua anawajua baadhi yao in a friendship level

Dude was legendary

Ana uwezo wa ajabu sana ku-network na people,crazy ability....

Najua yote haya unayajua....imetokea bahati mbaya tu this happened
Ni kweli kabisa, kwenye networking alikuwa ana kipaji.
 
Mwenye silaha mujeshimu. Mtaani kwetu kuna kiduka cha mangi, ni kubwa actually. Huwa wanakaaga hata wazee wakitoka mzigoni. Jirani kuna nyumba ya mwanajeshi. Siku moja wamekaa wanapiga vyombo saa 5 usiku ikapita boda kwanza. Yaan vijana wenyewe nyooka kabisaa wakacheki ramani wakapitiliza. Waliporudi tena wakasimama. Ilikua finally ya europa manchester kama si last year ni mwaka juzi. Wakapaki boda lao. Wakawaambia qale mafaza akiwemo mjeda laza nyama chini vitambi chinii na usijikuneee. Bwanaa weee.. kila mtu kitambi kinaelemea juu kwa ju. Kila mtu chojoa simu hata kama kitochi. Mangi toa hela zote za mauzo na mpesa. Walevi wote toa kila sumni. Walichojoaaaaaa kiiilaaa kitu na saaa. Walipomaliza wakaamsha. Walikua na mashone AK47
Kuanzia ile siku mpk kesho saa 4 wamefunga mwanajeshi amehama chimbo... hakua na mashine yake
Mimi nliona tukio la kijiwe cha wauza madini kimevamiwa mchana na machalii wawili n pikipiki...wakampiga jamaa risasi 1 wakachukua 80m,hapo around tulikua watu sio chini ya 9 tulio nazo ila hakuna aliechomoa yake,mana jamaa alikua kabeba mzigo mkubwa halafu ni jambazi mzoefu kitambo
 
Mimi nliona tukio la kijiwe cha wauza madini kimevamiwa mchana na machalii wawili n pikipiki...wakampiga jamaa risasi 1 wakachukua 80m,hapo around tulikua watu sio chini ya 9 tulio nazo ila hakuna aliechomoa yake,mana jamaa alikua kabeba mzigo mkubwa halafu ni jambazi mzoefu kitambo
Ha ha ha ha ha balaaa. Ungenyanyua kishingo uonee
 
Maduka ya dawa yako wapi? Nasikia yako mitandaoni. Unajua kufanya lile tukio lazima uwe akili nusu kichwani? Mambo ya maduka ya dawa ni vigezo vya kukopea bia dukani au bar. Madalali wana majigambo sana
Alex alikuwa ni supplier wa vifaa tiba katika mahospitali Muhimbili, Mloganzira, Ocean Road na Mahospitali ya Mikoani. Sina hakika kama akaunti yake Facebook Ameirestrict lwa friends only, kama ipo open kwa public andika "Alex James" utampata hapo. Then utasema kama alikuwa dalali au vipi....
 
Umeona jamaa yako kazikwa kimasikini tofauti na wealth display ya mazishi ya Alex?
Unaona tofauti?
Muwe na adabu sometimes!
Duh hapa sijakuelewa, mazishi ni kuuweka mwili ardhini usisumbue viumbe wa dunia hata Kaini alielekezwa na kunguru katika vitabu vyetu
Mm naona hapa tupaheshimu kuliko maziko ya makidai
RIP Gift na Alex
 
Me nakuambia hapa hakuna anayemsemea alex. Sote tumebase kumsema gift. Tukishalitambua hilo basi. Naamini yako mengi hayasemwi. La baamedi hata siamini kbs
Amini Barmaid (Bella) akakumbatiwa dk ya 5:28 ni mojawapo ya chanjo Meneja kamtaja, km sio Barmaid basi kuna mwanamke anaitwa Allie Bille, Alex alimvaa dada huyu akiwa amelala akachukua miguu ya huyo mwanamke na kuiweka kifuani, Alex baada ya kuombwa amshushe miguu akakubali na kumkaribisha kinywaji ,


1626900499282.png
 
Kile tunachoangalia na kusikiliza I.e movies, music vina impact katika Maisha either positive au negative, kiroho shetani anatumia sana celebrities ambao wameuza nafsi zao kwake kupush agenda zake duniani, kwenye gun violence kuna relation na Hollywood, Alex alikua ni mpenzi wa movie, hakua na habari na Ving’amuzi yeye ni Netflix, kuna roho zinapandwa kwenye hizi movies tunazoangalia hasa ukiwa addicted.

Ni ngumu sana hii statement kueleweka in this “Golden Age”!

You just analyzed Alex’s and Gift behaviors moments before the tragedy!

We could say they are the Same kind of opposites! It had to happen!

May their souls Rest In Peace!
 
Kuna ndugu yetu niliona hamnazo kbs. Nduguye alipofariki eti akakimbilia bastola anadai alikua akimdai marehemu Na huo ndo urithi wake. Na kama sikosei huwez amini alijamilikishwa. Sisi tuliambiana haya mambo ya silaha tukae pembeni yasije tukuta bure yale ya yule dada wa barclays pale ilala bungoni
Huyo dada wa Barclays ilikuwaje?
 
Back
Top Bottom