Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

'Usalama' amezingua kinoma, kutoka kumwonya mpaka kumwonesha kitambulisho mpaka kwenda kwa DJ mpaka kulianzisha tena mpaka kwenda kumshuti jamaa mpaka kwenda kwenye milango iliyofungwa mpaka kurudi kumshuti tena mpaka kujishuti na yeye dah!

Sijui ilikuwa stress za ghafla na woga baada ya kuona kaonywa na usalama na ameshalikoroga hakuna namna

Halafu kuna habari nilisoma humu mtu anatoa tahadhari kwamba kuna mtu anatishia watu silaha bastola hadharani hivi haikuwa ni huko huko kulipotokea tukio hili?
 
Mkuu
Alex kasemwa vibaya sana,hakuna aliemtetea maana tayari watu wa Gift wameshika narrative
Alex alionewa ndio maana kajitetea
Kuhusu comparison za mazishi ni utani nilikua nafanya na jamaa.Alex financial ni ahead of Gift kwa mbali sana ndio maana mazishi yana difference kubwa mno
Alex alikua celebrity ujue,anajulikana na watu sana!
Nimekuelewa Mkuu, mwanzo nilidhani katokana na ukoo wa Korosso kwani kipindi hicho cha miaka ya 1985 alikuwepo Jaji Koroso hapo Moshi nikidhani alikuwa mtoto wake kumbe Alex katokea Majengo na kwa Mtei kule, hapo ndipo nilipomtafuta maeneo yote na hasa walipo,taja Baba yake
Je ni kwanini alipenda majina ya Familia nyingine mpaka kujiita Simba?
 
Chawa Pro Max mbona hajaleta picha za mazishi ya Alex. Maana alisema jamaa ni famous vibaya, siku ya mazishi Moshi itasimama:D:D
 
Hata mm nazisubiri sana hizo picha au hata Clip hasa baada ya kugundua jamaa ni mkazi wa kwa Mtei badala ya Shanty Town Moshi
hii Clip ya Wasafi ni baadhi tu na bado Alex analaumiwa kwa ULEVI, sasa naamini Mazishi ya Gift Kigamboni yaliombolezwa na wengi
 
Alex alikuwa ni supplier wa vifaa tiba katika mahospitali Muhimbili, Mloganzira, Ocean Road na Mahospitali ya Mikoani. Sina hakika kama akaunti yake Facebook Ameirestrict lwa friends only, kama ipo open kwa public andika "Alex James" utampata hapo. Then utasema kama alikuwa dalali au vipi....
Ana sifa zote za madalali
 
Chawa Pro Max mbona hajaleta picha za mazishi ya Alex. Maana alisema jamaa ni famous vibaya, siku ya mazishi Moshi itasimama:D:D
Meneja ws Bar kasema Alex alikunywa bia za laki sita na sabini akashindwa kulipa ikabidi mke wake aje kulipa.

Huyu jamaa alikuwa ni bonge ya mlevi...laki sita ni kreti ambazo kirikuu haiwezi kubeba.
 
Hahaha, eti kirikuu haiwezi beba.

Sema bill kama hiyo ujue lazma alikuwa na washkaji zake au chawa wake, hapo mixa pombe kali za kutosha sidhani kama ni bia/bierre pekee.
 
Meneja ws Bar kasema Alex alikunywa bia za laki sita na sabini akashindwa kulipa ikabidi mke wake aje kulipa.

Huyu jamaa alikuwa ni bonge ya mlevi...laki sita ni kreti ambazo kirikuu haiwezi kubeba.
Hakunywa mwenyewe ..alinunulia watu bia na Kitimoto ndo ikafika hiyo bill ....
 
Yes. Hili ndo tunalopaswa kuliona. Hapa wengi tuko kimhemko. Angepigwa mvua kadhaa tu. Liwe funzo kwetu sote na basi
Sidhani kisheria ni rahisi hivyo. Kuonyesha silaha hadharani ni kosa kisheria, pili Gift was "unarmed". Kisheria makosa ya silaha, burden of proof ni ya mshtakiwa na si ya prosecutor. Definition ya aggression hapo ingekuwa mtihani, pili mazingira ya kumuua mtu pia yangeangaliwa kwa undani. Mara nyingi kama mtu ni unarmed, a warning shot is reasonable option. Hili halipo hapa. Tatu time lapse. Kitendo cha kuonyesha a loaded weapon kwa masaa kadhaa kinaonyesha an intention to hurt somebody ingawa siyo overt. Miaka 30 ilikuwa inamhusu, with good behaviour angetoka baada ya 15.

Ni heri huyu Alex kajiua, kafa kifo cha kizembe sana na kuiachia familia matatizo makubwa. Vijana mjifunze kumiliki silaha ni kuongeza majukumu na uwajibikaji na siyo kitu cha maonyesho
 
"Vijana mjifunze kumiliki silaha ni kuongeza majukumu na uwajibikaji na siyo kitu cha maonyesho"

Hapa tufunge mjadala. Tumemaliza kila kitu. Bastola ni mzigo. Tusikimbilie kumiliki wakati hatujui negatives zake.
 
Nunua Silaha wewe, nakuja kwenye ofisi yenu nalewa halafu nakupiga busu kwa lazima
 
Back
Top Bottom