DAR: Matatizo haya yanahitaji ziara na mikutano ya hadhara?


B

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2014
Messages
616
Likes
305
Points
80
B

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2014
616 305 80
Mh. Mkuu wa mkoa anaendelea na Ziara na Mikutano katika jiji la DAR Es Salaam. Licha ya kunukuliwa akilalamika kuhusu watumishi na mambo ya ardhi. Napenda niulize swali.

Je Matatizo ya Dar Es SALAAM Kama haya pichani nayo yanahitaji mikutano ya Hadhara?
img_1479896053-738490-jpg.438343
img_1479896088-813416-jpg.438346
 
M

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Messages
1,664
Likes
1,125
Points
280
Age
119
M

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2016
1,664 1,125 280
Kwani wewe nyumbani kwako ulishamaliza matatizo?Mbona hata soksi zako zinatoa harufu mbaya!?
 
M

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
2,121
Likes
1,872
Points
280
M

mmteule

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
2,121 1,872 280
Makonda anawapa homa mpaka mnatia huruma. Kijana anapiga kazi mpaka mnakosa usingizi! Tupunguze wivu na chuki!
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
38,418
Likes
51,085
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
38,418 51,085 280
Makonda anawapa homa mpaka mnatia huruma. Kijana anapiga kazi mpaka mnakosa usingizi! Tupunguze wivu na chuki!
Kazi ya kutembea na msafara wa magari 20?
1479899249378-jpg.438378


Haya mwambie akodishe boti aendelee na ziara.
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
46,215
Likes
33,373
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
46,215 33,373 280
Kweli graduates wote wa udsm na vyuo vingine wakandarasi wameenda wapi? Afu hapo ndio posta city centre yenyewe.
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
35,857
Likes
24,327
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
35,857 24,327 280
Anaishia maneno tu vitendo zéro

Ova
Makonda anawapa homa mpaka mnatia huruma. Kijana anapiga kazi mpaka mnakosa usingizi! Tupunguze wivu na chuki!
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
12,801
Likes
11,515
Points
280
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
12,801 11,515 280
Matatizo kama hayo yanahitaji kiongozi ambae sio mlalamikaji na mtoa shutuma bali ni mtendaji kisayansi na sio kisiasa siasa
 

Forum statistics

Threads 1,273,551
Members 490,428
Posts 30,484,754