DAR: Matatizo haya yanahitaji ziara na mikutano ya hadhara?

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
Mh. Mkuu wa mkoa anaendelea na Ziara na Mikutano katika jiji la DAR Es Salaam. Licha ya kunukuliwa akilalamika kuhusu watumishi na mambo ya ardhi. Napenda niulize swali.

Je Matatizo ya Dar Es SALAAM Kama haya pichani nayo yanahitaji mikutano ya Hadhara?
IMG_1479896053.738490.jpg
IMG_1479896088.813416.jpg
 
Makonda anawapa homa mpaka mnatia huruma. Kijana anapiga kazi mpaka mnakosa usingizi! Tupunguze wivu na chuki!
 
Kweli graduates wote wa udsm na vyuo vingine wakandarasi wameenda wapi? Afu hapo ndio posta city centre yenyewe.
 
Back
Top Bottom