nimekuelewa kaka mod! Hii si mara ya kwanza kwa mimi kutafautiana hoja na member mwingine. Ila anapokuja mtu kujaza page na hoja nyepesi kuwa mnajadili umbea, mara oh, hamna kazi ya kufanya, n.k, inabidi twende nae vivyo hivyo, ila nimejitahidi sana kuchunga madole yangu. Au sio mod?