Ukiwa na biashara inayoitaji investment ya 10Bn, halafu wewe una 12 Bn, kuwa makini sana.
Unaweza u kafanya masifa makubwa bila sababu, na yasiongeze sales.
Huyu bwana alianza kwa sifa sana, na investment kubwa, ila hakuwekeza kwenye sales.
Nakumbuka kupanda ma Bus yake twice, yakiwa na watu chini ya 25, nikasema he will fail.
Authentic growth is a key in business, sio kwa sababu una access na mkopo ukopo.
Mimi sijawahi kopa Bank hat 2m, ila nishawahi fuatwa na Bank wakitaka wanikopeshe 200m.
Hii ni baada ya kuona biashara yangu inaenda na inflow and outflow lf cash ni nzuri.
Huwezi chukua mkopo sababu umefuatwa na Bank, chukua sababu umeone fursa.