Miradi ya kwenye makaratasi mbona ipo mingi tu sisi tunataka utekelezaji. Rufiji HEP upo kwenye makaratasi tangu awamu ya kwanza lakini utekelezaji unafamywa na JPM.Mkuu mradi huu wa ubungo interchange na six lanes highway Dar -Chalinze ni kazi ya JK hilo kila mtu mwenye akili timamu anajua.Magu msifu moja kwa kubadirisha ramani ya hiyo interchange,pili kwa kupeperusha barabara ya njia Sita Ubungo Chalinze,tatu kwa kubomoa jengo la Tanesco pale ubungo na nne kwa kubomoa nyumba za wakazi wa kimara
Mkuu nchi ya mwisho kupata uhuru kusini mwa bara la Africa ilipsta 1980 miaka 40 iliyopita
Kuna hii ya tabata mpaka segereaFoleni itaagwa Dar au Ubungo?
Una uhakika interchange hii itaondoa foleni ya banana ukonga au pale Kigogo round about?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama ulisoma historia ya Afrika mashariki. Tanganyika ilipopokonywa kwa ,Mjerumani baada ya vita kuu, na kupewa mwingereza.Mkuu nchi ya mwisho kupata uhuru kusini mwa bara la Africa ilipsta 1980 miaka 40 iliyopita
Think deeper my friend.Mkuu mradi huu wa ubungo interchange na six lanes highway Dar -Chalinze ni kazi ya JK hilo kila mtu mwenye akili timamu anajua.Magu msifu moja kwa kubadirisha ramani ya hiyo interchange,pili kwa kupeperusha barabara ya njia Sita Ubungo Chalinze,tatu kwa kubomoa jengo la Tanesco pale ubungo na nne kwa kubomoa nyumba za wakazi wa kimara
Bwana weee ukiwa thika road yaniInaitwa Thika road mkuu.nadhani ndo barabara bora Africa mashariki
Hyo wilaya yenu ya kinondonMkuu, ka Nairobi ni sawa tu na wilaya moja ya Kinondoni kati ya wilaya tano za jiji la Dar.
Wacha kufananisha Dasilama na vitu vya kijinga!
Just imagine, miundombinu yote na maghorofa yote na majumba makali yote ya Ilala, Temeke, Kigamboni na Ubungo uweke kwenye wilaya moja tu ya Kinondoni.. Dar si itakuwa zaidi ya Dubai?
Pongezi kwa Magufuli na serikali yakeMagufuli tutamkumbuka sana... abarikiwe sana na sana
Binafsi natambua kuwa ramani ilibadilishwa japokuwa ile ya mwanzo ilikiwa nzuri sana kuliko hii ya sasa.Hii ndio interchange mliyokuwa mnaonyeshwa kwenye kideo?
Ama kweli Tanzania akili huwa hazipo mnafurahia kabisa mnaonyeshwa ghorofa kama kobe mnajengewa linalofanana na bata Mungu wangu
Kuna outa ring road hii nayo haikoNdo best kwa Nairobi hii
large in terms of??Mkuu sijafika Angola kwa ujumla Ila najua Luanda is among the top six largest cities in Africa.Lakini pia Angola Ina mafuta probably na watu wenye akili kuliko bongo
Size and poplarge in terms of??
Mimi najua in terms of economy...imepitwa na Lagos,Cairo,Capetown, Johannesburg in that order.Size and pop
Ulipotea Mama D..,Welcome back.Pongezi kwa Magufuli na serikali yake
Mkuu hiyo si interchange, ni Fly over kubwa.Picha: Mapishano ya Barabara (Ubungo Interchange) yafikia patamu, Dar es Salaam kuiaga foleni rasmi, mradi huu ni matokeo ya maamuzi ya Rais mzalendo Mhe. Dkt John Magufuli katika kuimairisha miundombinu ya Barabara nchini.
Mradi unagharimu kiasi cha Tsh Bilioni 188.71
Hii ni Awamu ya KaziView attachment 1442721
Kidaraja kimoja unasema dar nzima! Je wa Mbagala?Wa katikati ja mji? Mwenge? etcPicha: Mapishano ya Barabara (Ubungo Interchange) yafikia patamu, Dar es Salaam kuiaga foleni rasmi, mradi huu ni matokeo ya maamuzi ya Rais mzalendo Mhe. Dkt John Magufuli katika kuimairisha miundombinu ya Barabara nchini.
Mradi unagharimu kiasi cha Tsh Bilioni 188.71
Hii ni Awamu ya KaziView attachment 1442721
hii kama inataka kukubali hivi, though am not sure to that extentSijui kama ulisoma historia ya Afrika mashariki.
Tanganyika ilipopokonywa kwa mjerumani baada ya vita kuu,na kupewa mwingereza
hakuna ujenzi wowote wa kujenga nchi ulioendelea kwa kuhofia muda wowote atatakiwa kuirudisha UNO.
Kwa ufupi tunawezasema maendelea ya kenya yalichangiwa na rasilimali mwingereza alizoiba Tanzania.
Habari ndo hiyo