maestro2014
Member
- Jan 1, 2014
- 99
- 18
Utangulizi
Hapa hata kije chama gani ni yale Yale tu si unajua hii ndio hulka za ngozi nyeusi tumepata Uhuru sio kwa lengo la kujitawala bali ili tupate kuiba vizuri kwenye utawala Wa kikoloni hatukuweza kuiba ,bora ingekuwa tunatawaliwa mpaka Leo na wazungu tungekuwa mbali sana ona south afrika akili za kizungu zile sio za kiafrika
Main boady
Ili tuwe km nyk city lazima viongozi Wa new York waje hapa bongo na viongozi wabongo waende new York baada ya miaka mitano hapa bongo patakuwa bora zaidi kuliko new York city na kule NY city itakuwa kama bongo ya sasa tuionayo na viongozi Wa bongo watasema tukatembee dar kwani itakuwa nzuri sana