Mkalibari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 659
- 400
Wadau hakuna kitu kinacho nikera kama jinsi ya mji wetu ulivyo pangiliwa,ukiangalia majengo,watu,wafanya biashara,mifumo ya maji taka ni kero mpaka basi!
Sasa kama kuna namna mtu anadhani Dar es salaam inaweza kubadilika na kupendeza mpaka kufikia majiji mengine kama NY n.k tupe mbinu ambazo zinatakiwa zitumike kulibadilisha jiji letu.
Hope yangu humu jf kuna viongozi waleo na kesho na kama wakiona ushauri na mapendekezo yako yanaweza saidia kuleta changes.
UPDATES:
Labda niweke sawa hii mada kwa kusema,wewe kama wewe unadhani ni hatua au jambo gani inayoweza kuchukuliwa na sisi watanzania kwa ujumla ili kunusuru na kuiokoa miji yetu kama DSM ipendeze na ikishindwa kua kama yale majiji makubwa eg.NY n.k basi iyakaribie kwa uzuri wake..
Toa maoni kulingana na uelewa wako,utashi wako au utaalamu wako ulio nao!
UPDATES:
Modes naomba muiangalie hii mada kwa jicho la tatu kama mnaweza kulink baadhi ya mawazo yakujenga yanayochangiwa hapa ndani na sehemu husika (hopefuly) mnazifahamu basi mtusaidie hilo.
Mtazamo wangu juu jf kua nisehemu au jukwaa la wasio na sauti kuweza kupaza sauti zao na zisikike pale zinapo kusudia kufika.
Guess you know what i mean modes!
Thanking in advance.
Dar pict.
NY city pict.