Mkalibari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 659
- 400
- Thread starter
- #21
Kwenye nchi kama hii, ni zaidi ya ndoto kufikiri. Nchi yetu hii, si ya kufikiri kwa jiji/mkoa mmoja mmoja bali maendeleo ya kiafrika.
Mf.Jaribu kuuliza/kupeleleza ni zaidi ya miaka mingapi, Jiji la New York lilikosa umeme! Ni takribani karne moja na zaidi, na kisha uje katika Nchi yetu(Si Dar es Salaam)..mara ya mwisho kuwa na umeme wa uhakika ni lini.
Ukipata jibu, angalia ndoto hizi, mkuu.
Sasa mkuu..ndio najua ntapata jibu kua NY haikuwai kukosa umeme kwa kipindi kerefu kama ambavyo imekua ikitokea ktk nchi zetu.sasa issue nikua tufanyeje baada ya kupata majibu kama hayo?