punzumagulu
Senior Member
- Apr 14, 2017
- 100
- 66
Watu wengine bhana hufurahi wenzao wakipata shida, ukifuatilia michango ya baadhi ya watoa maada, utaona namna gani watu wa mlengo wa kupinga kila kilicho chema huchangia hoja zao, serkali yetu Ina nia thabiti ya kuijenga nchi hii kikamilifu, wacha kuleta mbeembee zenu humu. JPM jembe mtu.