mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,260
- 12,871
Hapana mkuu hicho kisa nikingine sio hicho......hiki kili husiana na hukumu ya musa na pharaho nikilefu kdgoWakati Musa alipotumwa Misri kuwaokoa wana wa Israel kutoka kwenye mikono ya Pharaoh (Firauni) Mungu alimpa uwezo wa kufanya miujiza kwa kutumia fimbo,akifanya muujiza na pharaoh nae anafanya muujiza
So,wahenga waliposema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni ni kwamba ukistaajabu muujiza au maajabu ya Musa utayaona maajabu atakayotenda Firauni (Pharaoh)
Katika maana maana halisi; unayemuona ni mtu mwema (Musa) akitenda mambo mema nyuma ya pazia naweza kuwa anatenda mambo mabaya sana (Firauni)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app