Dar: Kijana wa miaka 24 amuoa bibi wa miaka 62

Dar: Kijana wa miaka 24 amuoa bibi wa miaka 62

Hahaha hatarii
Huyo Mama alikua wapi ujanani mwake
Taarifa za uhakika nilizopata ni.kuwa huyo kijana sio rijali au kiswahili wanasema sio riziki

Mtambo au jeki haiinuki
Mwacheni tu hapo hamna ndoa wanaishi tu pamoja mengine wanayoongea Ni maigizo tu
 
Mama Mzaire huyu Kigoma geresha tu. Ndiyo maana hataki kutaja jina la asili. Aibu kubwa sana hii.
 
Taarifa za uhakika nilizopata ni.kuwa huyo kijana sio rijaki au kiswahili wanasema sio riziki

Mtambo hauinuki
Mwacheni time hapo hamna ndoa wanaishi tu pamoja mengine wanayoongea Ni maigizo tu


Aisee.
 
Hakika ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, na hujafa hujaumbika. Huyu kijana ana roho ngumu mno, kuoa bibi mwenye miaka 62 yahitaji moyo.

Innocent Nyange na Gokeys Dokeys ni wanandoa walifunga ndoa mwaka 2019 mwezi wa kumi na wamezua gumzo kutokana na umri wao ambapo mama aliyeolewa anaumri wa miaka 62 ambao ni mara mbili ya umri wa kijana aliyemuoa mwenye umri wa miaka 24 tu huku ukiwa ni umri mdogo kuliko mtoto wa kwanza wa huyo mama mwenye miaka 30.

Hata hivyo Innocent amedai hajampendea Gokeys kwa sababu ya hela kwani hana hela kama watu wanavyofikiria.




View attachment 1357268
Mama wa kiha kamroga kijana wa kitanga hajitambue tena. Mahari amempa mtoto wa mke wake!!

Kina zitto kabwe hao. Wanatisha kwa miti shamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya sharti gumu kwa mganga ni ili akinipatia
Naomba kuulaza huyu mama anauwezo kiasi gani kiuchumi?
 
huyo mama kabila mhaya hatoki kigoma
Huyo kijana ameamua kujiegesha uvivu wa kutafuta

Wazazi Wenye vijana wa kiume Hakuna eneo hatari kwa vijana wa kiume Kama kinondoni .Mijimama minginmijitu mizima isiyokuwa na haya inabeba Sana vijana wadogo

Hasa wanawake wa kihaya waliostaafu ile kazi ya kihaya kwa uzee maeneo mbalimbali ya kinondoni

Huyo mama jina halisi hataki kutaja sababu atajulikana live .Ila awaombe msamaha watu wa kigoma kwa kujiita mtu wa kigoma badala ya kagera
Unamfahamu vizuri kuwa ni wabukoba ? Kasema wakgm acha ukabila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom