Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,690
- 9,123
Mapenzi mubashara.
Nenda Musoma kwa Wakurya ukaione hiyo "Twaa twaa", kama hujarudi chongo na mkono mmoja, Twaa Twaa!!Kamusi imeandikwa na vizee ambavyo havina uhalisia na things on the ground. Ngono ndio msingi wa ndoa. Ndio maana ukioa zile siku za mwanzo. Iwe jikoni TWA TWA, iwe asubuhi TWA TWA ,usiku ndio kabisaaaa
Deceiver Ione hiyo Twaa Twaa!!? Alahaulaaa!!! Twaa twaa!!!
Faiza Foxy hatakagi utani ! kabisaa! sasa wewe piga makofi yako akushukie km Mwewe hapo!! hayaa!! uone km hujapotea humu km mwezi hivi na nusu!! halafu yule mwenyeji wa Tanga!! siyo kagera mmemuonea!!Faizafoxy kabadili dini kwa ajili ya kuolewa
Tumwimbie wimbo
Anameremeeta, anameremeeta,
kikongwe faizafoxy anameremeeta anameremeeta.!!
Makofi jamani kwa kikongwe faizafoxy