Dar: Kijana wa miaka 24 amuoa bibi wa miaka 62

Dar: Kijana wa miaka 24 amuoa bibi wa miaka 62

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni..Msemo huu una maana gani au ilikuwaje?
Wakati Musa alipotumwa Misri kuwaokoa wana wa Israel kutoka kwenye mikono ya Pharaoh (Firauni) Mungu alimpa uwezo wa kufanya miujiza kwa kutumia fimbo,akifanya muujiza na pharaoh nae anafanya muujiza
So,wahenga waliposema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni ni kwamba ukistaajabu muujiza au maajabu ya Musa utayaona maajabu atakayotenda Firauni (Pharaoh)

Katika maana maana halisi; unayemuona ni mtu mwema (Musa) akitenda mambo mema nyuma ya pazia naweza kuwa anatenda mambo mabaya sana (Firauni)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba A mapenzi shatashata, mnaokandia hamjui raha zake.... namba D endeleeni kubinua mikia insta.
 
Kwa Ufupi
Kijana anasema:

*Ukiamua kufanya jambo usisikilize watu wanasemaje

*Nilikutana na mke wangu kutokana na kazi yangu ya biashara ndogondogo ambapo 'mke 'wangu alikuwa mteja hasa miwani kutokana na kazi anayofanya(Mwimbaji wa Injili)

*Wazazi wangu nilipowaelezea waliridhika na suala hili la kumuoa huyu mama

*Watoto wa mke wangu wananiheshimu kama 'baba'yao japo hatuishi nao na mmoja(wa kwanza kanizidi umri)

*Kilichofanya nimpende ni kwamba alionekana na tabia tofauti wa wanawake/wasichana wa sasa

Kuhusu mtoto wanaamini sikumoja Mungu atawapa watoto(??)

Mwanamke anasema:

*Nilipata ujasiri wa kumkubali kwa sababu alinieleza kwamba ananipenda,mwanzo sikumchukulia umakini lakini aliposisitiza nilimuuliza kama yupo tayari kuokoka maana mimi ni Mlokole akakubali

*Ni kijana wa tofauti na ana mapenzi makubwa hata leo(valentines) yeye ndio alinambia tuvae sare tutoke

*Mtoto wangu wa kwanza anamzidi umri Ila wa pili ni mdogo kwa mume wangu(ana watoto wawili tu)

*Kupata kijana kama huyu ni nguvu ya Mungu tu maana siamini kama mimi ni mzuri sana kuwazidi mabinti wa umri wake.

*Watoto wangu waliridhia ndoa hio,hawana shida.

Ndoa yao ilifungwa mwaka Jana(2019)mwezi wa kumi.

Ujumbe wanasema ukiamua jambo usisikilize watu wanasema nini na Kama unashida basi Muombe Mungu kama ambavyo Hanna(kwenye Bibilia)alikuwa tasa lakini alivyomwomba Mungu akapewa mtoto.

Kwa kifupi wanaamini katika maamuzi yao,Tunawatakia kila la heri.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Musa alipotumwa Misri kuwaokoa wana wa Israel kutoka kwenye mikono ya Pharaoh (Firauni) Mungu alimpa uwezo wa kufanya miujiza kwa kutumia fimbo,akifanya muujiza na pharaoh nae anafanya muujiza
So,wahenga waliposema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni ni kwamba ukistaajabu muujiza au maajabu ya Musa utayaona maajabu atakayotenda Firauni (Pharaoh)

Katika maana maana halisi; unayemuona ni mtu mwema (Musa) akitenda mambo mema nyuma ya pazia naweza kuwa anatenda mambo mabaya sana (Firauni)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu asante..Ila nilitaka kuangalia wangapi wanaelewa huu msemo lakini yaonyesha kila mmoja ameelewa kivyake.

Hiki ni kisa kabisa kimetokea ndo sababu ya msemo huu, ipo siku nitakuja kuleta hapa ubaoni..Inshaallah
 
Huyu Mama mumewe alifariki kabla hata Dogo hajazaliwa.

Kimadili ya kikwetu huyu mama hastahili kumvulia dogo nguo kabisa
 
Kachungua kijana anahitaji urithi kutoka kwa mama huyo.
Hakika ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, na hujafa hujaumbika. Huyu kijana ana roho ngumu mno, kuoa bibi mwenye miaka 62 yahitaji moyo.

Innocent Nyange na Gokeys Dokeys ni wanandoa walifunga ndoa mwaka 2019 mwezi wa kumi na wamezua gumzo kutokana na umri wao ambapo mama aliyeolewa anaumri wa miaka 62 ambao ni mara mbili ya umri wa kijana aliyemuoa mwenye umri wa miaka 24 tu huku ukiwa ni umri mdogo kuliko mtoto wa kwanza wa huyo mama mwenye miaka 30.

Hata hivyo Innocent amedai hajampendea Gokeys kwa sababu ya hela kwani hana hela kama watu wanavyofikiria.




View attachment 1357268


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimaadili ya kwetu jaijakaa vizuri ukilinganisha umri wa kijna na huyo mama but ndoo hivyo wamependana.Alietakiwa kuonyesha aibu na staha ya kulikataa ni huyo mama kwa sababu ndoo anaonekna zaidi kuliko kijana.

Lakini kwa habari ya mapenzi hayana tafsiri thats why tunasema wenyewe wamependana.Tujaribu kuwa na reference kwa Emmanuel Macron (Frence president) kwa umri anao zidiwa na mke wake .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom