DAR: Kamanda Sirro awataka Clouds kutoa ushirikiano

DAR: Kamanda Sirro awataka Clouds kutoa ushirikiano

Akili, hekima na busara ni zawadi nzuri sana kutoka kwa Mungu.

Naamini angekuwa HATA NA KIMOJAWAPO kati ya hivyo, basi hyo ishu wala isingekuwa story tena, toka kipindi kile.

Mzee Ziro nae aache kuwa mnafiki. Nashaur angejitahidi kulinda heshima yake na mambo haya akawaachia vijana walumbane kwa maneno kuliko kutoa maneno ya kujishushia heshima yke.
 
Sirro aache uongo, hayupo wa kumpeleka Bashite mahakamani hata kama atakutwa na hatia. Amuulize Nape.
Mara unatokea muujiza nakuwa rais wa Tanzania kesho, baada ya kuapishwa na kupata nafasi ya kuwasalimu wageni, kitu cha kwanza namfuta kazi RC wa Dar halafu ndiyo naanza salam na mengine.
 
Kamanda Sirro ameutaka uongozi wa Clouds Media kushirikiana na Polisi katika upelelezi wa tukio la uvamizi wa kituo chao cha matangazo.

Akiongea na waandishi wa habari leo Sirro amesema kesi yoyote inahitaji ushahidi na uvamizi wa Clouds bado upelelezi wake unaendelea ukikamilika utapelekwa kwa wakili wa Serikali ili aone kama anaipeleka kesi hiyo mahakamani au kutoipeleka.

"Ndugu zetu wa Clouds watoe ushirikiano kwa mpelelezi wa kesi yao, wao wanataarifa za kutusaidia kukamilika kwa upelelezi ila nasi tuweze kuipeleka katika hatua inayofuata. Na sio kwamba tukio limesahaurika bali upelezi wake unaendelea," amesema Sirro

My Take: Baada ya Leo DAB Kuhojiwa haya ndio yakaonekanika?

Tanzania ya V Wanda
Cherehani ni kiwanda
 
Walihemuka hao, ushahidi watoe wapi?
Hata kile kipande cha watangazaji wao kupigwa na vitako vya bunduki wameshindwa kutuonyesha.

Ama Kweli unafiki wa siku zao unahesabika.
 
Ruge namkubali. Wape ushirikiano tu... maana ushahid unao mpaka zile cctv camera iliyoonyesha jamaa akingiia clouds na askari.
Hakuna cha kuficha..

And siro angalia rc anakuchafulia heshima yako mbele ya jamii. usoni unaonekana kuwa hupendezwi na hii hali lakin sababu ndio kibarua chako bas huna bud kufuata amri.
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Simon Sirro amewataka uongozi wa Clouds Media Group kushirikiana na jeshi la polisi katika upelelezi wa tukio la uvamizi wa kituo chao cha matangazo.

Akiongea na waandishi wa habari leo Sirro amesema kesi yoyote inahitaji ushahidi na uvamizi wa Clouds bado upelelezi wake unaendelea ukikamilika utapelekwa kwa wakili wa Serikali ili aone kama anaipeleka kesi hiyo mahakamani au kutoipeleka.

"Ndugu zetu wa Clouds watoe ushirikiano kwa mpelelezi wa kesi yao, wao wanataarifa za kutusaidia kukamilika kwa upelelezi ila nasi tuweze kuipeleka katika hatua inayofuata. Na sio kwamba tukio limesahaurika bali upelezi wake unaendelea," amesema Sirro.

Chanzo: mwananchi

Mbona Bashite leo kasem hakuna kesi popote?
 
Kesi ya Boss wake aifatilie kwel? km anauwezo wa kukuamrisha kitu na ukafanya,kweli uende ukampekue au ukamchunguze? kwel na ukiambiwa usifanye je? acha kutuweka maboya kutuuzisha mahind funika kombe mwanaharam apite
 
Wanatafuta kumsafisha tu mhusika.Ila Mungu anawaona ,mhusika atashangaa baada ya miaka miwili ijayo jinsi atakavyokuwa jela na watu lukuki ikiwemo anaofikiria wanamback up wataendelea hivyo hivyo.Siasa ni kitu kibaya sana.Ila nahisi hii ya huyu mhusika ni Mungu ame create ili utawala huu uanguke puuu.Just mark my words!Ndio maana tunaambiwa shukuruni kwa kila jambo.Farao Mungu alimpa moyo mgumu maksudi .Ukisoma Kutoka 08:15 "Lakini wakati huu pia Farao akaufanya moyo wake mgumu".Kutoka 9;12 "Bwana akaufanya mgumu moyo wa Farao asiwazikilize....."Kutoka 7;13,22 08;19 "
So kuna sababu
 
Hivi kwa akili hizi za Sirro jamaa wa kibiti si watatumaliza
 
Wale "wauza madawa ya kulevya" walioitwa central polisi kuhojiwa na kisha kulazwa rumande kwa siku kadhaa, upelelezi wao ulikamilika ndipo wakaitwa huko central??? yaani utafikiri tunaishi katika nchi mbili tofauti...double standard plus plus..
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Simon Sirro amewataka uongozi wa Clouds Media Group kushirikiana na jeshi la polisi katika upelelezi wa tukio la uvamizi wa kituo chao cha matangazo.

Akiongea na waandishi wa habari leo Sirro amesema kesi yoyote inahitaji ushahidi na uvamizi wa Clouds bado upelelezi wake unaendelea ukikamilika utapelekwa kwa wakili wa Serikali ili aone kama anaipeleka kesi hiyo mahakamani au kutoipeleka.

"Ndugu zetu wa Clouds watoe ushirikiano kwa mpelelezi wa kesi yao, wao wanataarifa za kutusaidia kukamilika kwa upelelezi ila nasi tuweze kuipeleka katika hatua inayofuata. Na sio kwamba tukio limesahaurika bali upelezi wake unaendelea," amesema Sirro.

Chanzo: mwananchi
hakuna ushahidi wa uvamizi ndio maana clouds wanajiumauma mdomo. tukio zima ni la kupanga. inaelekea rc mskonda alikua mtu wao ila kwa sababu wanayoijua wenyewe wakala njama kumsaliti siku ya tukio.
 
Hivi jamani haya mambo ya Bashite si yalishaisha? naona yanarudi kwa kasi...kulikoni tena?
Hajatoa vyeti halafu kuna mambuzi wanataka kumsafisha kwa nguvu za damu zao kila anachoulizwa hana jibu anazungumzia vita ya madawa ya kulevya hata hao walomuita waneaibika maana hata hajajibu maswali walivyotarajia zaidi alikuwa anatumia mamlaka kutaka kujipromote
 
Ni vyema Kamanda apitie taarifa ya timu ya Nape kuliko kuja kulalamika ktk media. After all the TPDF has resources and techniques to investigate the matter timely without playing the blame game....how many times tumeona wahusika wa matukio kadhaa wakichukuliwa na dola kwenda kutoa taarifa polisi bila ridhaa yao, tena chini ya polisi escort and under govt expenses. Just use the same technique "pendwa"
 
Siro, Mungu anakuona, kweli anakuona! Una ubavu wa kuipeleke kesi inayomhusu Makonda Kortini? Mungu anakuona.
Nyie watu akili zenu zinasoma juu chini. Kesi ni ushahidi, malalamkijai anamnyima ushirikiano mpelelezi, ili mpelelezi apate facts/ushahidi wa kupeleka kesi kwa mwanasheria wa serikali hatimaye kesi ianze dhidi ya huyo anayedaiwa kuvamia. Sasa mnataka Sirro afanye nini?
 
Back
Top Bottom