Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Pelekeni ushahidi wa kuvamiwa, ile clip haina any conclusive evidence ya uvamizi, ni kama clip ya joti na tanzazo la mtandao wa simu, hamna kitu!
Clouds kama WAMEVAMIWA watoe ushirikiano!
Poleni sana sana sana.Jamaa yako alikuwa anajua anakuwa recorded kwa kila kitendo na akajua akiwatisha wataifuta ile episode majanga akakutana na Muhaya ambaye hasikii lwa kuambiwa akaishia alipoishia,anachotakiwa kufanya si kumtukana Ruge ,bali kuomba radhi period.
Hatakati hata kwa jik