DAR: Kamanda Sirro awataka Clouds kutoa ushirikiano

DAR: Kamanda Sirro awataka Clouds kutoa ushirikiano

naona njia ya kumsafisha Bashite inaandaliwa
Pelekeni ushahidi wa kuvamiwa, ile clip haina any conclusive evidence ya uvamizi, ni kama clip ya joti na tanzazo la mtandao wa simu, hamna kitu!
Clouds kama WAMEVAMIWA watoe ushirikiano!
 
Hivi hao Clouds tangu wamevamiwa kwanini hawaendi kushtaki polisi na kutoa ushirikiano kwenye UPELELEZI ??
Umeusoma na kuuelewa uzi vizuri? Msome tena afande Sirro, kwa maelezo yake ni kwamba upelelezi bado unaendelea (the word una endelea it means taarifa huko police zipo) na amewataka Mawingu kutoa ushirikiano; may be the question is; Sirro/Police waliisha enda kutaka au kuwauliza maswali hapo mawingu studio? Au bado na yeye anafanya press conference?
 
Hivi kwanini watu wote waliotoroka Seminary akili zao zinakua na walakini...
 
Yaliishaje, alitoa vyeti? alipelekwa mahakamani kwa kuivamia clouds.
ndugu yangu tujikalie kimya haya majibu yote hatuwezi kuyapata..unakumbuka Boss wake alivyotunanga kwenye uzinguzi pale ubungo tunaoulizia vyeti vya huyu bwana?
 
Hivi jamani haya mambo ya Bashite si yalishaisha? naona yanarudi kwa kasi...kulikoni tena?
wAHARIRI: Marufuku vyombo ya habari kumjadili Makonda.
Naona inashindikana, wanakosa soko na wafuasi wao wanakosa cha kuwapatia airtime.
 
Haka n ka mchezo... tarajieni chochote kutokea mbeln
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Simon Sirro amewataka uongozi wa Clouds Media Group kushirikiana na jeshi la polisi katika upelelezi wa tukio la uvamizi wa kituo chao cha matangazo.

Akiongea na waandishi wa habari leo Sirro amesema kesi yoyote inahitaji ushahidi na uvamizi wa Clouds bado upelelezi wake unaendelea ukikamilika utapelekwa kwa wakili wa Serikali ili aone kama anaipeleka kesi hiyo mahakamani au kutoipeleka.

"Ndugu zetu wa Clouds watoe ushirikiano kwa mpelelezi wa kesi yao, wao wanataarifa za kutusaidia kukamilika kwa upelelezi ila nasi tuweze kuipeleka katika hatua inayofuata. Na sio kwamba tukio limesahaurika bali upelezi wake unaendelea," amesema Sirro.

Chanzo: mwananchi
Hawa wakomae na Wrong Parking tu ndio Size yao
 
Naombeni kuuliza, hivi ushahidi wa maneno, picha, video(clip), kidhibiti, upi una nguvu zaidi ya mwingune?
 
Makonda si mjinga kwa kufukua file la Clouds ambalo lilikuwa kama linakwenda kuwekwa masijala kuna mpango uliopangwa na soon kuna watu watajikuta wanaingia matatizoni hasa michango wanayoichanga kwa watu na kampeni wanazozianzisha ktk jamii
 
Clouds wameambiwa watoe clip ya kilichoendelea studio wanaruka ruka.
Siku zote hujitenga na uongo
 
Na lazima Ruge atoe ushirikiano hili jambo lieleweke vizuri na akijifanya kupuuzia mengi yanaweza kuibuka upande wa clouds na hasa Ruge.Namhurumia sana Kusaga kwani ni mtu muungwana sana na inawezekana amebebwa tu juujuu na Ruge katika hili swala.Wafanya kazi wa clouds nao wanachezeshwa ngoma ambayo hawaijui undani wake.Na mtaamini haya clouds itakapoanza kuporomoka down to ground level.
 
Ingekuwa haya ya kutafuta ushahidi yanafanywa kwa tuhuma zote ingekuwa safi sana .lakini kuna wanao we kwa ndani Halafu kuambiwa bado upelelezi unaendelea.
 
Siro, Mungu anakuona, kweli anakuona! Una ubavu wa kuipeleke kesi inayomhusu Makonda Kortini? Mungu anakuona.
Hawezi hata afanyeje nchi hii iko na watu wawili tu baba jescar na
Daudi Albert bashite

Wengine woooooote kimya kama hawaamini wamuulize Anthony dialo na star TV yake

Aliambiwa mbele ya majaliwa kwamba kuwa siro anaweza kuwa amechukua cha juu na wauza shisha na hakuomfanya lolote Leo anajitekenya na kucheka mwenyewe

Mungu
Mungu
Mungu
Mungu
Yupo nawakumbusha tu kujua mnajua sana Ila madaraka yanawalevya kama nebukadreza
 
Kama upelelezi ukikamilika nini kinafuata na kama upelelezi haukukamilika nini kinafuata kwa mfano
 
Back
Top Bottom