Zaidi kwa kiwango kipi? Wasema baridi iliyopo kawetere.... Umetumia kipimo gani kuipima hiyo baridi unayo linganisha? Leta evedence ya vipimo vya joto ili tujue mbeya kuna joto dogo zaidi ya maeneo mengine nchini, bahati mbaya hayo maeneo yote nimeishi au kufanya harakati..... sio Mbeya labda juu ya mlima Mbeya au Loleza! Kwani hayo maeneo uliyoyataja yako mji gani? Baridi iliyopo Kawetere ni zaidi ya iliyopo Mabatini.
Kuwa makini unapomkariri mtu, wewe unanikariri nilichokikariri, soma post zangu kwanza.Zaidi kwa kiwango kipi? Wasema baridi iliyopo kawetere.... Umetumia kipimo gani kuipima hiyo baridi unayo linganisha? Leta evedence ya vipimo vya joto ili tujue mbeya kuna joto dogo zaidi ya maeneo mengine nchini, bahati mbaya hayo maeneo yote nimeishi au kufanya harakati
Miezi hii hadi miezi ya tisa Makete hiyo ni hali ya kawaidaHapa nimeshangaa kidogo,labda wataalam waniambie kwamba baridi Haina uhusiano na kuanguka barafu,,,16C ndio barafu yote hii,mbona Njombe na Makete huwa unafika mpaka 4-6 huwa barafu Kama hii hakuna?
Mkuu viwanja vipya sehemu gani hiyo kuna 8°c?Itakuwa umeamua tu kumbishia elvischirwa, kwanza barafu haihusiani na baridi. Kwa tulio Isyesye viwanja vipya ni kawaida sana kucheza na baridi ya 8•c hadi 2•c. Kule juu gereza la Walibya/Gaddaf joto sifuri ni yao wameizoea
Hivi baridi huanza kuitwa baridi halo ya hewa inapofikia centigrade ngapi?Hii siyo baridi bali kipupwe. Dar hakuna Baridi.
Yan kweli kabisa, hii nayo imenikumba mimi, na hata majirani nao ni hivyo hivyo. Mbaya zaidi haiponi haraka., ambayo itaathiri mafua, kikohozi, upungufu wa pumzi, n
Yan kweli kabisa, hii nayo imenikumba mimi, na hata majirani nao ni hivyo hivyo. Mbaya zaidi haiponi haraka.
Wiki nzima nateseka
Shukrani NumbisaPole sana Bushmamy
Kuna mtu nimetoka kuongea nae muda si mrefu yupo Arusha.
Anasema baridi iliyopo huko hataki kutoka kwenye blanket na hajui atatoka kitandani saa ngapi.
Ikisha changamka tunacheza humo.Mkuu viwanja vipya sehemu gani hiyo kuna 8°c?
Kwa masista?
Kwa donati? Au
Sekondari?
Dah nami nipo Njombe ni noma sana nipo Igotavangu hapa naganda nimemkumbatia mbebies hapa kupungUza baridi.Nipo njombe huku Hali ni mbaya sana aisee