Sio kweli mkuuIkisha changamka tunacheza humo.
Karibu na shule ya msingi ukisha pita makaburini. Sivuki kidaraja.
Mvivu tu huyoKuna mtu nimetoka kuongea nae muda si mrefu yupo Arusha.
Anasema baridi iliyopo huko hataki kutoka kwenye blanket na hajui atatoka kitandani saa ngapi.
View attachment 2248992
Hali ndio kama mnavyoona.
Hilo eneo la National Park, baridi yake ni balaa!View attachment 2248992
Hali ndio kama mnavyoona.
Usibishe kufika 8•c,Kwa sasa haijachangamka,huu ni ukanda mmoja na UyoleSio kweli mkuu
Nishaishi sana hiyo mitaa nakunywa bia kwa Tanzanite pub naenda kulala lakin hamna baridi hilo
Jaribu kwenda hata Makete_kitulo ukalale siku mbili tuu
Mikoaniii???? Ndo wapii.Kwani Dar ni nchii??Dar kuna baridi na upepo kwa sasa je mlio mikoani hali iko vipi?
Miezi hii hadi miezi ya tisa Makete hiyo ni hali ya kawaida
Huwa inaanguka baadhi ya maeneoHujanijibu Swali,mbona barafu haianguki nyingi Kama hiyo iliyoonyeshwa hapo juu?
Nimetokea Makete nyuzi joto ni 4°C Nikalala Njombe nyuzi joto ni 7°C kiufupi Kuna baridi Mimi sikuzote izo nilizokaa kiukweli sijaogaDar kuna baridi na upepo kwa sasa je mlio mikoani hali iko vipi?
Ngapi huko?Nipo njombe huku Hali ni mbaya sana aisee
Aisee!
Duh!Kuna mtu nimetoka kuongea nae muda si mrefu yupo Arusha.
Anasema baridi iliyopo huko hataki kutoka kwenye blanket na hajui atatoka kitandani saa ngapi.
HahahaWatu wa dar upepo kidogo wanalalamika eti baridi, sasa mkiletewa baridi ya mafinga, makete, kitulo na kilimanjaro juu mlimani si mtaanza kusema mmefungiwa kwenye freezer