Dar kama kuna Baridi hivi huko mikoani vipi, tupeane updates

Dar kama kuna Baridi hivi huko mikoani vipi, tupeane updates

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Dar kuna baridi na upepo kwa sasa je mlio mikoani hali iko vipi?
 
Huku Tukuyu Mbeya watu tunatembea barabarani tukiwa tumebeba majiko ya mkaa yenye moto mkali lakini wapi.... mpaka maji ya kuchambia chooni tumeweka ya moto ila ndani ya dakika moja tu utafikiri yametoka kwenye freezer lakini ndiyo nyumbani sasa hivyo hatuhami tunakomaa nayo kwahiyo watu wa dar vumilieni tu huo upepo ila msiuite eti ni baridi... huku ndiyo kuna baridi..
 
Uko Dar mnasema baridi nyuzi joto 28 eti.

C1966AD8-7873-432D-BDED-7E07928AF7D7.jpeg
 
Asee huku mkoani Bonyokwa baridi ni hatari😂
 
Back
Top Bottom