Dar kama kuna Baridi hivi huko mikoani vipi, tupeane updates

Dar kama kuna Baridi hivi huko mikoani vipi, tupeane updates

Huku ni kawaida tu hii, tushazoea hii hali. Wala hatuwez anzisha uzi coz ni hali tuliyoizoea.
Mvua za hapa na pale, baridi kali + ukungu.
 
Karibu Isapulano Makete Njombe
Kiwango cha joto ni 7 nyuzi joto baridi kali


Isapulano, Makete, Tanzania
Latitude: 9.2 South
Longitude: 34.06 East
Altitude: 2299.00m / 7542.65ft

1654239017163.png
 
Now nipo Mafinga hapa Kinyarambo C.. Inanibidi nitafute Manzi hapa nimpime ukimwi then awe blangeti langu maana nipo si chini ya Mwezi Huku. Hii baridi bila Manzi sitoboi walahi
 
Watu wa dar upepo kidogo wanalalamika eti baridi, sasa mkiletewa baridi ya mafinga, makete, kitulo na kilimanjaro juu mlimani si mtaanza kusema mmefungiwa kwenye freezer
 
Back
Top Bottom