A
Anonymous
Guest
Tunatambua tangu matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi 2025 yamesababisha usimamizi wa usafi na mazingira kuzorota, hofu ikiwa kwa Wanasiasa kuogopa lawama za Wananchi.
Hii imesababisha mji kuwa mchafu sana, tunajenga barabara nzuri lakini mabanda kila mahali, ukienda Mbezi Mwisho sasa hivi hapafai, ni aibu ukizingatia ndio lango la kuingilia wageni kwa njia ya basi.
Wauza mafenenesi nao kila mahali, nimeona Posta hadi Kijazi Interchange chini wamejaa, hivi hawa viongozi hawaendi miji ya wenzetu kama Nairobi au hata Rwanda wakajionee usafi wa mazingira.
Hii ni aibu kwa taifa kufanya usafi wa mazingira kisiasa Dar ni chafu, Chalamila kazi ya kupanga wafanyabiashara imemshinda.