Dar inawapotezea watu muda

Upuuzi akuna chaushawish
 
Unajichanganya

Kipato kikubwa halafu bado maskini??

Umaskini unaupima kwa engo gani??
bahat nzur kwa kujua kuna watakoshndwa kunielewa nikaweka tahadhari "jitahd unielewe", Mkuu ungejua ya kua kua na kipato kikubwa tu haitosh kukufanya uwe na hela nying/tajir bali n muunganiko wa kipato chako na matumiz ndo vinaamua kiwango chako cha maisha/utajir, MF una kipato cha 1.8M kibongo bongo Si kipato kdg, haya matumiz yakawa ya 1.7M-2M kwa mwez unatarajia uwe sawa na mwenye kpato cha 1M kwa mwez na matumiz ya lak 4-3 Kwa mwez?

Naatumia tunaongea lugha moja sasa ndugu?
 
Kikubwa nikionacho hapa ni mitaji na uwezo wa kuona fursa.....issue sio unaishi mahali gani.....kuna watu wanaishi Dar wana mashamba makubwa tu mikoani magari ya usafirishaji nk....na kuna watu wanaishi mikoani wana asset nyingi tu Dar.....
Hakika maisha nusu bongo nusu Shamba wanaishi watu wengi Sana dar.
 
Sasa unafikiri umaskini ni nini??

Kukosa majumba??

Kama anajimudu mahitaji yake huyo sio maskini.

Na watu huwa tunalazimishana eti kila mtu lazima awe na nyumba,magari na balansi benki...

Lakini kama mtu anakula chakula akipendacho milo 3,anavaa, analipa kodi na anapata matibabu kwangu mimi ni utajiri tosha.

Mengine mbwembwe tu
 
Mkuu naona tupo tofaut sana , hata lugha tunazotumia kueleweshana zinaashiria, basi ndugu, baba yangu mkubwa anakipato kdg/kikubwa na ni Maskin/tajiri,

Kwa aman na upendo.
 
Bakisha nafasi ya kujifunza mkuu! , for thirty years niliamini hicho unachokiamini nikiwa hapo town , naamini tofauti sana sasa
Nimezunguka mikoa yote Tanzania na wilaya zake kuacha Zanzibar.

Naongea ninachokiona.

Nimeishi arusha, tanga mjini, same, moshi mjini, mbeya, marangu kwa zaidi ya miezi 6 kila mmoja.

Hakuna auxiliary income mikoani zaidi ya kilimo tu. Ukiajiriwa utabaki na hiko unachopata tu labda ufuge mbuzi au kuku wako wawili.

Purchasing power ipo chini kuliko maelezo. Ukisema ufanye biashara hakuna cha maana utakachofanya zaidi ya kuwa dereva bodaboda au mkulima.

Niambie biashara za maana 5 unazoweza fanya huko mikoani ukatoka haraka kuliko dar.
 
Ndio maendeleo angeng'ang'ania Dar mpaka leo asingekuwa na maendeleo aliyofikia ya kumiliki usafiri wake wa kupeleka mazao mjini
Just average thinker like any other village guy.
 
Mkuu sasa hilo jibu si ungemjibu pale pale nyumbani Mzee Mwalubadu alokuwa anakukejeli kuwa umelishindwa jiji.
 
Ushasema kilimo alafu unauliza biashara gani tena...sasa huyo anayelima kisasa ndani ya miezi sita ana uwezo wa kununua gari au kujenga nyumba na ikaisha...je biashara gan kwa wew apo dar unayoweza kuifanya ndani ya miez sita na ukanunua gari la maana na kuanzisha ujenz. Dar ni sawa na mtu mfupi anaetembea hatua fupi fupi nyingi alafu anakuja kupitwa na mtu mrefu anaetembea hatua moja ambayo ni sawa na mbili au zaid za mtu mfupi
 
Unaandika km mambo ni rahiiisi
 
Kulima kisasa.?

Usiingie huko manake najua vilimo vyote nchi nzima nje ndani.

Wanaofaidika na kilimo sio mkulima.

Na wakulima wa kisasa wakubwa wengi hawaishi mikoani.
 
Baba yangu Mkubwa Anaish Dar mwaka wa 28 huu ndo msomi zaid na mwenye kipato kikubwa zaid ndan ya familia ila ndo maskn zaid kwenye familia yao.

Sitak kuweka maelezo meng Jitahd hvyo hvyo tu unielewe
Duu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…