wingatereza
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,347
- 1,743
Cha ajabu utakuta ndo aliyewasomesha na kuwawezesha kupata hayo mafanikio lakini hamkumbuki yote na mnamwona boyaBaba yangu Mkubwa Anaish Dar mwaka wa 28 huu ndo msomi zaid na mwenye kipato kikubwa zaid ndan ya familia ila ndo maskn zaid kwenye familia yao.
Sitak kuweka maelezo meng Jitahd hvyo hvyo tu unielewe
Mie home ni Dar na kuna mijengo na ma kila kitu babaake ila sitamani hata kurudi. Niko maeneo ya karibia na mlima mkubwa Africa, hali ya hewa safi hamna kero ya usafiri vyakula cheap, nikiwaza lile joto la bongo unalala na feni still unavuja jasho. Sitamani hata kurudi bongo mazee!lile tu joto kwangu huwa naona kama nipo ahela,yaani joto kulidhibiti unatumia gharama?
Ninyi nyote kwa kifupi mawazo yenu ni finyu na uwezo wa kutoka ndani ya kundi la wajanja hamuwez, kwa kifupi mnarudi kwenye ule msemo wa kizamani kwamba jogoo wa shamba.....niwaulize mnawaza habari ya eti kodi ya nyumba, chakula maji, kwa hio huko mikoani kuna nyumba za bure? Kama kamji kadogo namna hii mnaona ni kupoteza muda inakuwaje ungetupwa jiji kama NY, Milan ama London ukaambiwa utafute connection mtoboe? Wasema Dar ni kupoteza muda lakini tambua nyumba nzuri kushinda zoote Tanzania iko Dar, viwanja vikal viko Dar, Tajiri namba 1 Tanzania yuko Dar, hata gari ya kifahari nchi nzima inaendeshwa Dar..nyie endeleeni kukusanya matembele huko na kujigamba mnamilik nyumba huko ambayo ukiileta dar itathaminishwa na ilioko tandale
Umeona balaa hilo, sipati picha ulivyokuwa unaamka saa 10 alfajiri kama mwanga!
Basi heri mkuuNakaa Kigamboni ofisi Makumbusho, natoka home 0800 nafika Makumbusho 0845/0900.
Sasa hivi napita Central police
Sio kila mtu atakubaliana na wewe. FYI im not your typical Dar dweller. Kwahio hio typical mindset yako ni wewe na wenzio hainihusu ndio maana mawazo yako na yangu yanapishana.Wapi nimesema mkoani kuna maisha mazuri mkuu?
Nilichosema ni kuwa mkoani ni rahisi kutoka kuliko dar , baas !!! Hakuna sehemu yoyote ambayo nimesema maisha ya dar ni mabaya , Nilichosema ni kuwa najutia muda niliopoteza kuishi dar
Umeamua kunitafrisi unavyotaka wewe na kujenga hoja kutokana na tafsiri yako, Again typical mindset ya sie watu wa dar !
Yeah kichwa lazima kiume ukikatisha usingizi, ina maana ulikuwa unalala masaa 5 tu badala ya atleast 7 ambayo ndio recommeded kwa afya!Hahah acha kabisa mkuu,mpk nilikua natembea na panadol sababu kichwa kinauma silali fresh kila siku kuamka saa 10 alfajiri kurudi home saa 4 kuelekea saa 5 usiku hivi,hahah
Mtoa mada alitakiwa aseme baadhi ya mikoa kutoboa ni rahisi kuliko Dsm mana ipo mikoa maisha ghali sana kuliko Dsm hasa ukiwa unafanya kazi rasmi pia ubaguzi na changamoto nyingi ukiingia kwenye uwekezaji kuliko Dsm
Shukurani mkuu, naona unatanua utumbo mapema tu. Safii!!!Karibu supu
View attachment 870672
Huyo anaeingiza elfu hamsini kwa siku huyo si tajiri wa kutupwa.ndani ya wiki atakuwa kama na laki 3.kwa mikoani huyo anamaliza yote.tajiri namba 1 wa mji mzima.kiufupi maisha yawe ya mikoani au Dar. Ukiingiza 15 kwa siku wewe umetoka kimaisha.wengi huwa wanaishia kupata buku 5 siku ikiwa powa buku 10 kwa siku.Ukipiga dili ukalipwa 15000 au 20000 yani siku hiyo utachoka balaaa ni kazi ngumu sana.Kiufupi Tanzania yote maisha ni magumu sana.Labda uishi kijijini kabisa.Huko kuna angalau na ukiwa kijijini ukubali kuishi maisha ya ukijijini.Maisha yetu watanzania yanasikitisha sana hasa vijijini.Nimekaa morogoro.Mbeya,Dar,Songwe nimepita Njombe ,Iringa,pwani.Kwa kweli maisha ni duni sana. Yani tunaishi kwa neema tu.Dar kuna wabongo wachache wenye pesa.Ila sio pesa nyingi.Wanahela sana wenyenyumba za kupangisha Dar.Maana kodi wanakusanya kwa miezi 6.labda unakuta chumba 50,000.amepangisha vyumba nane anakuwa na million kadhaa ambazo zinasaidia kumtoa kimaisha.Yeah na wanawake wadangaji wanapapenda kwa sababu ya watu wenye vipato vikubwa excess wapo hapo.
Mi sikufichi, Dar kwa hali ya sasa kama huna kipato cha elfu 80 mpaka laki kwa siku utapaona pachungu hasa kama unapenda kuishi comfortably, uendeshe gari na home familia ile vizuri, ule bata bila kusahau ku save kwa ajili ya maendeleo! Gharama za maisha ni kubwa sana.
Comfortability ya maisha ya mtu anaeingiza laki kwa siku Dar ni sawa na ya mtu anaeingiza elfu hamsini kwa siku kwa mikoa mingi tofauti na Dar.
Yeah kichwa lazima kiume ukikatisha usingizi, ina maana ulikuwa unalala masaa 5 tu badala ya atleast 7 ambayo ndio recommeded kwa afya!
Huyo anaeingiza elfu hamsini kwa siku huyo si tajiri wa kutupwa.ndani ya wiki atakuwa kama na laki 3.kwa mikoani huyo anamaliza yote.tajiri namba 1 wa mji mzima.kiufupi maisha yawe ya mikoani au Dar. Ukiingiza 15 kwa siku wewe umetoka kimaisha.wengi huwa wanaishia kupata buku 5 siku ikiwa powa buku 10 kwa siku.Ukipiga dili ukalipwa 15000 au 20000 yani siku hiyo utachoka balaaa ni kazi ngumu sana.Kiufupi Tanzania yote maisha ni magumu sana.Labda uishi kijijini kabisa.Huko kuna angalau na ukiwa kijijini ukubali kuishi maisha ya ukijijini.Maisha yetu watanzania yanasikitisha sana hasa vijijini.Nimekaa morogoro.Mbeya,Dar,Songwe nimepita Njombe ,Iringa,pwani.Kwa kweli maisha ni duni sana. Yani tunaishi kwa neema tu.Dar kuna wabongo wachache wenye pesa.Ila sio pesa nyingi.Wanahela sana wenyenyumba za kupangisha Dar.Maana kodi wanakusanya kwa miezi 6.labda unakuta chumba 50,000.amepangisha vyumba nane anakuwa na million kadhaa ambazo zinasaidia kumtoa kimaisha.
Hahah ila mi naona Dar nzuri kwa biashara kuliko ajira ila uwe umeinvest pesa ndefu. Sio biashara za kuchonga miwa na kuuza pipi.Na hapo bado sijapita kwny vikao vya pombe vya kurudi home saa 8 usiku,maisha si lelemama.
Ndugu ulichoandka kimejaa assumptions labda na refference to your own life,nikikuambia uthbitshe ulichokiandka kutoka kwenye ulichoquote hutaweza, comment yang haipo positive wala negative na ndo mana mwisho nikasisitiza jitahd unielewe, sasa mwenzangu na mimi ukaelewa kwenye negatv tu. ila sio tabu una uhuru wa chochote ndugu and its "where we dare to talk openly"Cha ajabu utakuta ndo aliyewasomesha na kuwawezesha kupata hayo mafanikio lakini hamkumbuki yote na mnamwona boya
Omba uwe na ndugu anayetambua mchango wako katika maisha yake yaani we acha tu