Dar inawapotezea watu muda

Maisha popote
 
Umenikumbusha ule wimbo wa "Sifa za kijinga" [emoji3][emoji3]
 
Waulize wenzio waliohamia dodoma wanavyolia Lia. Dar kufanikiwa ni rahisi kuliko kufeli.
Enzi za kupiga deal ndo ilikuwa hivyo; kwa sasa imebaki historia. Dar itakuja kuwa kama Mombassa ya Kenya, mambo yote yatahamishiwa Dodoma na Mwanza, jipeni muda mtakuja kubaliana nasi tulioko mikoani.
 
Enzi za kupiga deal ndo ilikuwa hivyo; kwa sasa imebaki historia. Dar itakuja kuwa kama Mombassa ya Kenya, mambo yote yatahamishiwa Dodoma na Mwanza, jipeni muda mtakuja kubaliana nasi tulioko mikoani.
Huu msemo wa wapiga Dili unawadanganya wengi.Tunasubiri Tairi la nyuma la gari lilipite Tairi la mbele
 
Lakini kuniani kote watu wanao itaji maendeleo ukimbilia mijini sio kijijini kama ulishindwa mjini kijijini ni Kazi sana kufanikiwa
 
Bila shaka we ni denti
Nilikaa miaka miwili na nusu mikoani lakini sikuwahi ona jambo la maana hela zenyewe hakuna, yani watu hawanywi hata soda aisee na wakinywa soda ni kwenye sherehe aisee, tangu nirudi Daslama nateleza tu kama maji...
 

Gari kali liwe Dar?
Viwanja vizuri viwe Dar?

Hahaha ni bora tu ungenyamaza mkuu.
 
Ulihooo
 
Hana akili, kuna kitu kinaitwa rasilimaliwatu, hii ukiitumia vizuri inakutoa, ukifikiri vizuri, changamoto inaweza kuwa fursa.
Yaaani we uliesema raslimali watu nakuonea huruma sana watu wenyewe kina nani wa kuwageuza raslimali siku hizi kila mtu mjanja utampata nani awe fursa kwako
 
Kuna aina ya mikoa. Si mikoa yote wana omba omba. Kuna mikoa inajiweza na hawalalamiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…