ndio zipo, zinatumia bluetooth au wifi, na nyengine unakuta ni keyboard na touchpad (mouse) kwa pamoja. sema bei inakuwa kubwa kidogo.Mkuu Chief-Mkwawa, nisaidie pia kwenye hili la mwisho.
Je kuna 'wireless keyboard' for pc? Kama ilivyo wireless mouse.
Naunganisha Laptop to TV kwa HDMI cable ili nitumie TV as monitor. Then naenda kukaa mita mbili hivi away with keyboard & mouse only, naoperate pc wirelessly.
ndio zipo, zinatumia bluetooth au wifi, na nyengine unakuta ni keyboard na touchpad (mouse) kwa pamoja. sema bei inakuwa kubwa kidogo.
tuanze na aina ya simu yako mkuu ni ipi?Chief nimeelewa kiasi kikubwa nimekwenda online nikaona HDMI wifi around USD 12 lakini Kuna 1.Receiver 2.Converter ambazo Kuna male na female TV yangu si smart nnataka kuona vitu vya simu yangu kupitia hizo wireless devices sio kupitia macables hipi itafaa nimeona zinaintaface na android kuanzia 4 yangu ni 5.1.1
tuanze na aina ya simu yako mkuu ni ipi?
haina matatizo hio simu inakubali kwa wireless na cable vyote vyote.Sony Z ultra Android 5.1.1 software
haina matatizo hio simu inakubali kwa wireless na cable vyote vyote.
unachotakiwa kutafuta wewe ni miracast hdmi adapter ya tv, sababu ndio standard simu yako inayokubali. ikiwa na miracast itakubali simu yako.
sio mbaya mkuu, tatizo ni huko kuchelewa kufikaShukrani mkuu naona ebay ni USD 13 PLUS SHIPMENT
Shukrani mkuu naona ebay ni USD 13 PLUS SHIPMENT