Dar: Gari dogo lateketea kwa moto daraja la Nyerere Kigamboni

Moto ni hatari sana,hivi huyo dereva,kwenye gari lake hakukuwa hata na Fire extingusher ili angalau angeweza kupunguza madhara ya huo moto..?
 
Wanapenda hela hao askari hasa mtu kupiga picha nalo ni tatizo.


Yote kwa yote pole kwa mwenye gari kwakupoteza mali yake.
 
Kuhusu jeshi la zimamoto in short magari machache sio la kulilaumu hapa cha msingi serikali ijipange kununua magari hayo ya kuzimia moto la sivyo tutaendelea kulilaumu hilo jeshi daima.
 
mbona pale kuna mchanga mwingi ameshindwaje kuliokoa au si angelitumbukiza baharin
 
Daaaaa pole sana.
Hapo inawezekana betri haikuwa na ile guard ya positive terminal na ikagusa bati la bineti na kutoa cheche.
Hasara sana
 
Si nasikia lazima kila gari iwe na fire extinguisher? Kwahiyo hicho kifaa nacho kumbe ni bure tu!
Wenye magari mnasemaje?
 
Duh

Mpaka limeteketea lote

Halafu si kuna ofisi za zimamoto hapo?????

Anyway

Mwenye gari alipona?

Wakata tiketi je???
 
Mkuu hilo jeshi la zimamoto halina vifaa vya kisasa kabisa, magari yote yale ya zimamoto ni tia maji tia maji tena niya msaada toka nchi za ujerumani na Japan


Jamaa karipia tozo ya kuvuka gari iliyoungua


Imekuwa tozo ya kuunguzia gari getini
 
Nadhani wengi wao watakuwa ni watoto wamezaliwa na kukulia Maghorofani kwa hiyo maisha halisi hawayajui.


Mkuu ilikuwa ni aibu, nakumbuka wananchi walitaka kuwapiga hao kikosi cha uokoaji, nakumbuka wakati huo Vuai Nahodha ndiye alikuwa waziri wa wizara ya mambo ya ndani, akasema kwa mtazamo wake yule raia aliyefanya uokoaji angependa aajiriwe maalumu kwa kazi hiyo
 
Back
Top Bottom