Dar Express zimebaki Stori/Zilipendwa

Dar Express zimebaki Stori/Zilipendwa

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,753
Ile kampuni pendwa ya USAFIRISHAJI nchini inapumulia Mashine baada ya Mama wa familia ambae alikua msimamizi Mkuu wa biashara kutangulia mbele ya Haki (RIP) Miaka kadhaa iliyopita.

1. Mabasi chakavu,
2. Hotel Korogwe, huduma mbovu,
3.Ofisi ya Kisutu kufungwa.

**Wazee wa Kichaga kwann hamuhudhurii vikao? Dogodogo (Wadangaji) hatari sana kwa Afya ya Biashara ya familia
 
Lenye mwanzo halikosi mwisho, wachaga sasa hivi wako hoi kila sekta.

Habari ya mjini sasa hivi ni Wasukuma na wakinga
Wasukuma wana faida ya kuwa na idadi kubwa ya watu na JPM aliwabeba vilivyo, Kisukuma kilikuwa kinakaribia kuwa lugha rasmi maofisini. Wachaga wapo kila mahali na usitarajie wapotee mstari wa mbele karne za hivi karibuni.
 
Watu weusi sio wazuri kwenye kupokezana na kurithi shana kampuni

Mzee mremi wa dar express ameshfafikia umri wa kustaafu zamani sana.. alipaswa kumuachia mwanae aongoze biashara

Baba yake na mo dewji mzee gullam dewji bado yupo hai ila alishamuachia mo biashara zamani

Bakhressa nae hivyo hivyo
 
Vijana weusi nap ni shida tupu
 
Watu weusi sio wazuri kwenye kupokezana na kurithi shana kampuni

Mzee mremi wa dar express ameshfafikia umri wa kustaafu zamani sana.. alipaswa kumuachia mwanae aongoze biashara

Baba yake na mo dewji mzee gullam dewji bado yupo hai ila alishamuachia mo biashara zamani

Bakhressa nae hivyo hivyo
Blacks tunachoweza kurithishana vizuri ni wake tu.
 
Mimi naona Wapare ndio miamba wa biashara ya mabasi njia ya Kaskazini.
 
Ujio wa YUTON. Kampuni za usafirishaji zilizokuwa zikitumia Mabasi ya Scania yalipitia changamoto. Muulizeni Aboud atawaeleza hili vizuri. Dar xpress walichelewa kuliona hili. Na ndio limewagharimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom