Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,335
- 24,231
Kukua kwa Jiji si ongezek la watu tu, ila wanaongezekaje.NCHI NGUMU SANA HII,
______________________
HUAMINI KAMA IMEKUA AU HUTAKI IKUE,
WANAOSEMA INAKUA KWA KASI SI WATANZANI NA WALA SI CCM,
KWANI WEWE UNASEMAJE BRO,
#NASISITIZASAMIAJEMBE
____________________________________
Watu wanavamia open space.
Watu wajenga bila vibali
Watu wanajiajiri kwa kuuza chochote mahali popote
Watu hawana mahali pa kuweka uchafu natakataka
Watu hawana barabara na miundombinu mingine huko uchochoroni
Hii ndio Dar es salaam tunayoijua sasa
Mama Samia Jembe!