Tajiri la Bitcoin
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 1,087
- 643
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Haki huinua Taifa, Nchi yetu imeanza kuingia midomoni mwa Watu kila kona duniani kwa sasa,
Kwa Taarifa hii tu, Dar es salaam itapokea wageni lukuki toka nje na ndani,