Dar es salaam Vijana wengi ni Maskini!

Dar es salaam Vijana wengi ni Maskini!

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,721
Reaction score
11,925
Dar es salaam Vijana wengi ni Maskini ila wanamiliki iPhone na wanajua kunyoa na kuvaa vizuri and that's what give them confidence..

If you visit here hangaika na kilichokuleta.

Ukishaanza kupunguza tamaa za fashions unakuwa umekuwa sehemu moja muhimu sana.

Tufanye kazi hawa viongozi wanatafutia watoto wao mahali salama…..Mfano mtoto wa Makamba,Kikwete,Nchemba,n.k
 
Daaah ukweli Mchungu matumizi ni makubwa kuliko kipato.
Bila kubuni vyanzo vingi vya kuingiza kipato. Tofauti na hapo umasikini ni kazi sana kuundoa
 
Vijana……….wameshindwa kuelewa
 
Back
Top Bottom