Dar es Salaam vijana jogging - tarehe 29/08/2021

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,895
940
DAR ES SALAAM VIJANA JOGGING

Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wake Comrade Mussa Kilakala unawakaribisha Vijana wote Mkoa wa Dar es salaam katika Uzinduzi wa DSM VIJANA JOGGING utakaofanyika siku ya Tarehe 29/08/2021.

MGENI RASMI

Comrade KENANI KIHONGOSI ambaye ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa.​

Jogging itaanza saa 12:00 asubuhi kwa kuanzia Viwanja vya Mwembe yanga na kumalizia Uwanja wa Uhuru.

KAULI MBIU

"VIJANA TUPO MSTARI WA MBELE KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19, TUNAENDELEA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA UTENDAJI KAZI WA MHE.RAIS SAMIA"

Imetolewa na
Katibu wa Hamasa na Chipukizi
Ndg.Ally M.Ummy.

1bba949b29cb4e17a10fd814aea0af55.jpg

IMG-20210828-WA0042.jpg

IMG-20210828-WA0044.jpg

IMG-20210828-WA0039.jpg
 
Kwenye hizi Jogging club, Runners club na Gym watu wananyanduana sana usijemruhusu mkeo akashiriki huko
 
Back
Top Bottom