Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 28,592
- 74,282
Itakuwa hatari sana wasipoingilia katihapa huu mtanange Hezbollah wasipoingilia kati dar kazi wanayo
Itakuwa hatari sana wasipoingilia katihapa huu mtanange Hezbollah wasipoingilia kati dar kazi wanayo
Na wengi wao ni mashabiki wa Yanga au kama wanavyojiita wenyewe, wala mihogo mibichi mjini huku wakiamini kuwa Haji Manara ndyo Mungu wao.Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.
Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.
Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.
DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.
Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.
Ni hayo tu tukutane kwenye comments.
Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.
Za kichwa na mjegeje umejaa
Wadiz
b2kasoro mkuuWewe kwa kutumia iyo akili yako una saving kiasi kwenye akaunti?
"Mtu akifa bila kufika dar lazima ajilaumu" Nimejiuliza atajilaumuje ikiwa ashakufa ..?Yaan takriban nusu muongo Sasa sijasafir kwenda mkoa nilienda mkoa sio Siri naona pa kishamba sanaaaa pamekaa kishamba hakuna mzunguko wa pesa kabisa ukiwa police au mwalimu wa primary Au secondary unajiona umetusua maisha...
Dar ndio DUBAI ya Tanzania NDIO Washington DC ama New York City ndio Johannesburg ndio Amsterdam ya Tanzania dar es salaam ๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃTANZANIA ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ ๐น๐ฟ maisha ni rahisi MNO kutoboa kuliko sehemu yeyote TANZANIA
1. POPULATION ina fevor kutokana na population kua Caucasoid in nature.......
2. Government makao makuu haina ubishi dar ndio Tanzania na Dar es salaam TANZANIA ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
3. Financially ๐ฐ๐ค haina ubishi kua Tanzania dar es salaam TANZANIA NDIO mkoa pekee unao changia Kwa kiwango kikubwa Pato la taifa Kwa kukusanya mapato....
4. Fursa nyingi sana sema tu watu wengi hawajui ndio maana Kuna mapolice , ma doctor na WALIMU wengi WALIO acha ajira na wapo hapa mjini dar es salaam
5. Ni ndoto za watu wengi wa mikoani kuishi Dar es salaam TANZANIA ๐น๐ฟ๐น๐ฟ na mtu akifa bila kufika dar es salaam lazima ajilaumu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐
Mkuu yapo mengi mkuu ๐๐ค๐ค๐ค
Usidangavywe na data! Kwa sababu Dar matajiri wakubwa wengi wanafanyabiashara wakubwa!Dar ndio inaogoza kwa kipato kuliko mikoa yote sasa huo umasikini wa kuzidi mikoa mengine unatoka wapi..sema wewe umezoea kulima kwa dar utapata shida sana rudi tu kwenu
Me sijasema mtu yeyote wakuja na sijadharau mtu yeyote wa Dar , Dar ni hatari sana mtu yeyote anaweza kuwa na helaโฆ.Na huko ndiko walipoweka makazi hao unaowaita 'wakuja'
Unadhani sijui ? kuna jamaa zanu wengi huko mzee lakini kwenye mining wanaopata hela ni wenye capital kubwa alafu gues what hiyo hela wakiipata investmet kubwa wanakuja kuzifanya Dar. Wazee mbona DAR mnaipinga sana kwani tatizo liko wapi ? Niliwah kufanya kazi Mantrac nilikuwa naenda sana migodini. So mazingira nayajua mkuuโฆKaka siku ukienda kanda ya ziwa huko geita na kahama hutarudia tena kuongelea ujinga wa milon 80!
Watu wanafanya mining wanapata mamilioni wewe unazungumzia million 80!
Acha uongo wachimbaji wengi hawaji kuwekeza Dar wanawekeza Mwanza! Kaka usidanganye watu sio dar peke ake ndo kuna maisha! Wewe tafuta trip uje Kahama au Mwanza ndo utaniambia!Unadhani sijui ? kuna jamaa zanu wengi huko mzee lakini kwenye mining wanaopata hela ni wenye capital kubwa alafu gues what hiyo hela wakiipata investmet kubwa wanakuja kuzifanya Dar. Wazee mbona DAR mnaipinga sana kwani tatizo liko wapi ? Niliwah kufanya kazi Mantrac nilikuwa naenda sana migodini. So mazingira nayajua mkuuโฆ
Siku ukifa ndio utajua maana HUU MWILI NI KASHA mf. Karanga Huwa ipo ndani ya KASHA ni sawa na huu mwili na nafasi/Roho..."Mtu akifa bila kufika dar lazima ajilaumu" Nimejiuliza atajilaumuje ikiwa ashakufa ..?
Anzisha thred Instagram uliza ungependa kufanya kazi mkoa gani hapa Tanzania utakuja kunipa majibu hapa!Siku ukifa ndio utajua maana HUU MWILI NI KASHA mf. Karanga Huwa ipo ndani ya KASHA ni sawa na huu mwili na nafasi/Roho...
Mkuu,
Mtanzania yeyote huko mikoani wanatamani kuja dar es salaam TANZANIA ๐น๐ฟ๐น๐ฟ hii haiitaji kupigiwa kura...
Huu ni ule ukweli mchungu jpo ningependa kujua wewe uliyetajirika mkoani uliwezajeAcha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia.
Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka sana.
Watu wanaoishi DSM wanateseka sana na maisha. Ukiwa mtafutaji huwezi kukaa dsm mwezi mzima wakati maisha yako mwanza, Arusha, Iringa,Mbeya, Dodoma, Kahama.
DSM endeleeni kujifariji na starehe ya pombe na umalaya nje na hapo tokeni Maghettoni.
Watu wa DSM wengi hawana savings kwenye account zao maisha yao ni kauka nikuvae.
Ni hayo tu tukutane kwenye comments.
Benjamin Mkapa Stadium tarehe 20-10-2023 ntakuwa VIP B dadeki.
Za kichwa na mjegeje umejaa
Wadiz
Mkuu Kwa umri wangu Kwa Sasa nipo Jf nimeshaacha mambo ya Facebook na Instagram account kutokana na ubusy wangu wa hapa na pale......Anzisha thred Instagram uliza ungependa kufanya kazi mkoa gani hapa Tanzania utakuja kunipa majibu hapa!
Mkuu,Ndiko tunakoelekea.Kwenye masuala ya usalama wa chakula huko Kwa Wenzetu wako very strict ila bongo ni Bora liende.
Pamoja na hivyo watu Bado hawana akili huko Dar kwenu.