Dr. Dau kwa nini usianze kufukuza mzee mmoja mpuuzi, mtukana watu, mpenda rushwa wa pale Ubungo ana kisahara na ana asili ya Musoma! I hate that stupid man. Anatukata na kufokea watu kama . . . . . Aaargh!!
hivi nssf ni suala la muungano?
naogopa pale wateja wa nssf watakapoanza kukosa mafao yao sababu tu mtu mmoja anaitwa dau anatafuta umaarufu at their expense..i hope he knows what he is doing
Pendekezo: Dr. Ramadhani Dau awe Rais au hilo likishindikana NSSF iwe wizara ya serikali!
payback period?? return of investment(ROI)???.....naogopa pale wateja wa nssf watakapoanza kukosa mafao yao sababu tu mtu mmoja anaitwa dau anatafuta umaarufu at their expense..i hope he knows what he is doing
Wao kila kitu kimepitwa na wakati,mbona CCM imepitwa na wakati hawaibomoi na kuijenga kisasa?.
Jinsi Dr. Dau asivyopenda rushwa.....nashangaa yule mzee amewezaje kudumu pale....au ndo mtaalamu wake? mana ameshafikishiwa malalamiko kuhusu huyu mzee zaidi ya 1,000
Hivi hii NSSF wanachama wake wako DSM tu! Daraja la Kigamboni DSM, Nyumba za bei nafuu DSM, Reli DSM, Bandari kavu DSM Ooops Kisarawe? Je wanachama wa mikoa mingine hutataki hizo nyumba za bei nafuu?
Halafu nani amempatia mamlaka hayo ya kutumia pesa zetu atakavyo? Wanachama tunachotaka ni kuboresha formulae ya kukokotoa mafao ya uzeeni yafanane fanane na ya PSPF.
Sijui hili suala tunaweza kuli solve vipi kwenye katiba mpya? Mkurugenzi wa NSSF na mifuko mingine ya jamii achaguliwe na wanachama wenyewe badala ya kuteuliwa na RAIS ambaye yeye ni mwanachama wa PSPF.
Hivi hela zetu (NSSF) tulizotumia kujenga UDOM serikali imeshaanza kuturudishia?, Maana report ya CAG ya 20012 inaonesha Serikali imeshindwa kurudisha hiyo pesa na mifuko hiyo (NSSF, PPF) iko taabani kifedha na ndiyo ulikuwa mwanzo wa muswaada ule wa kuzuia FAO LA KUJITOA.
Kama ni hivyo kwanini Dr. Dau aendelea kuifadhili serikali ambayo it is a bad DEBTOR. Huyu Dr. Dau kwanini anajipendekeza sana kwa serikali at the expense ya michango ya wanachama?
Wanaongelea ofisini kwenye makaratasi,
miaka minne siyo mingi aangalie haya maneno yake yasijemfuata nyuma.