Dar es Salaam Mpya: NSSF kuanzisha miradi mikubwa jijini; Mwisho wa malori kuingia jijini wawadia

quote_icon.png
By RealMan Hivi Mkurugenzi wa NSSF huteuliwa na rais?

Je, rais ni mwanachama wa NSSF pia?.?

Kama sio mwanachama kwa nini wakurugenzi wanajipendekeza kwake na sio kwa wanachama??

Wewe huna akili kabisa, Hiyo miundombinu na uboereshaji wa makazi ni kujipendekeza kwa Rais? Ulitaka nae awe na kashfa za kuficha pesa nje ili uone hajipendekezi? Kichwa chako kimeumbwa kuhifadhi Mapunye kwenye bongo yako!


Join Date : 27th May 2009
Posts : 944
Rep Power : 673
Likes Received165
Likes Given0
 
Wewe huna akili kabisa, Hiyo miundombinu na uboereshaji wa makazi ni kujipendekeza kwa Rais? Ulitaka nae awe na kashfa za kuficha pesa nje ili uone hajipendekezi? Kichwa chako kimeumbwa kuhifadhi Mapunye kwenye bongo yako!

Hivi wewe mwenzetu kumbe umeamini hizi porojo?? Kama kweli NSSF wangekuwa na uwezo huo then utajiri huo ungeonekana kwenye sector nyingine pamoja na serikali. Haiwezekani shirika mmoja tu tena la serikali liwe na pesa kiasi hicho halafu serikali iwe ombaomba kiasi cha bajeti ya nchi kutegemea wahisani!!

Karaga baho................... wenzio wako kwenye kampeni za 2015!!!

Hivi lile daraja la Kigamboni limeishia wapi vile??
 
Nadhani hii faida kubwa inayopatika na katika investment ya hela zetu, itaonekana kwenye mafao yetu, manake hii ni mitaji yetu au sio?
 
Bei zao zitakua juu sana, mpango ukianza tuukubali kwa masharti ya kupewa nyumba na fidia, lakini sio kupewa fidia halafu tuuziwe nyumba kwa nusu bei hatutaweza zinunua . Hii serikali na NSSF janja sana wanataka kutuamisha kiaina wameona atustahili kukaa katikati ya jiji wanatupeleka mabwepande au kisarawe!
 
uwekezaji UDOM,fedha ilisharudishwa na Serikali?!!,na fedha hii itarudishwa baada ya muda gani?!!
 
walikuwa wapi siku zote 2015 inakaribia ndo wanakuja na mipango mizuri hatudanyiki zamani ilikuwa uchaguzi unapokaribia matinga tinga kila barabara ya vumbi kutibua mavumbi raia hawataki coz wameamka sasa wanakuja na mipango mizuri mi sidanganyiki

Dr. dau sio mwanasiasa ni mtu wa mipango, hongera sana, watz tuache kulalamika!!! maendeleo hayaji kwa mikutano na maneno ya uongo....! maendeleo yanaletwa na wazalendo na wenye mipango safi kama huu wa dau!! acheni chuki kuweni wa kweli.
 
""Kwanini NCCF WASINGEWAJENGEA WANACHAMA wao kwanza nyumba za bei nafuu kuliko kuwaacha wakihangaika huku pesa zao ya makato yakitumika kunufaisha wengine. Ni vizuri kama wangejenga nyumba kwa wanachama halafu wakawauzia au kuwapangishia kwa gharama nafuu. Mwanachama angepata unafuu na kunufaika na chama kwa upande wangu nilidhani watu muhimu kwanza ni wenye chama halafu unaelekeza mikakati mingine kwa kwingine. Utaachaje nyumba yako ikiungua na kukikimbilia kuuzima wa jirani.""

Kajifunze maana ya Social Security Fund ujue kwa jinsi gani inatofautiana na Saccos. Mwanzo mlikuja na hoja kuwa Inafilisika sasa Uongo umedoda mnakuja na dai lingine, Uongo husambaa kwa haraka pia hunuka na kukataliwa haraka, Hakuna Mkurugenzi Creative kama Dkt Dau, iwe kwa kumlinganisha na watangulizi wake kina Mkulo au kumlinganisha na Wakurugenzi wenzie wa Other Pension Fund kama LAPF, PPF au PSPF!
 
ukisikia ushe..i wa tabia wa ndio huu, kwanza serikali itetehe hoja ya kusema bandari ya bagamoyo inayotaka jenga hipo kwa mantiki ya kupunguza msongamano wa mjini na kwa sababu za kupunguza unnecessary traffic at city centre. Hapohapo serikali imejizatiti katika kujenga an economic zone to justify the project at the expense of tax payers money and outside investment.

Halafu anakuja mpuuzi kama huyu anasema anataka jenga reli na kubomoa nyumba za watu (assuming with the government blessings) whilst the same government has promised to reduce the inflow of traffic in the city by building another port.

Sasa basi hiwapo bandari ya bagamoyo itajengwa wouldn't that solve that same traffic problem assuming residential areas are restricted and all other plans are considered and the priority is the inflow of goods.

In short dr. Dau kaishiwa and apparently he has got too much money on his hands na hajui pa kuzipeleka ndio sababu wengine tunasema kuna watu wengi wapo kwenye position ambazo si haki zao sio kwa sababu ya elimu zao bali they're just not creative enough for the posts they hold.
very unfair for this home of the intelligent to have you as a member. Read what u wrote pure nonsense, hupendi maendelieo yoyote.
 
Mh ngoja tusubiri ila nawapa 10% tu ya kuwahamnini hawa jamaa maana kwa mipango bila utekelezaji ni mabingwa hawa
 
Ahaaa! Kumbe ndio maana walikuwa hawataki kulipa mpaka miaka 60? Na malipo yenyewe kwa wastaafuu kiduchuu. Bado nafikiri miradi mikubwa kama hii soirce of funds ingekuwa TRA kwa njia ya kodi au TPA yenyewe.
 
naogopa pale wateja wa nssf watakapoanza kukosa mafao yao sababu tu mtu mmoja anaitwa dau anatafuta umaarufu at their expense..i hope he knows what he is doing

Yanı mtu akıfanya kazı yake vızurı na ubunıfu ımekuwa anatafuta umaarufu?hıı kwelı ndo bongo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hivi ni huyu dr dau tuliomzoea au mwingine? Naona anaota ndoto za mchana akajua usiku mwingine ameanza kampeni mapema za ccm kabla 2015 mwaka mwingine..
 
Mimi hua NSSF wananipaga shida kidogo kuhusu hii miradi yao. Sijui kama hua wanawasiliana na serikali.
VIPI BANDARI YA BAGAMOYO IMEFIKIA WAPI? VIPI ILE HOSPITALI YA APPOLO WALISEMA WANAJENGA MLIMANI CHUO KIKUU IMEFIKIA WAPI?
 
Yanı mtu akıfanya kazı yake vızurı na ubunıfu ımekuwa anatafuta umaarufu?hıı kwelı ndo bongo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
soma,elewa,changia...sio kukurupuka
 
tumezoea kusikia mengi,hata raisi kaahidi ahadi ningi sana ila utekelezaji ni sifuri
 
Waanze kubomoa msasani na mikocheni waache mambo ya ajabu, nusu ya gharama ya nyumba vingunguti atalipa nani wengi ni wastaafu wanategemea kodi za wapangaji, waache wizi wa mchana kuibia watu ardi yao, wanajua fika kuwa kama hakuna foleni Buguruni mpaka kariakoo ni mwendo wa dakika sita tu wanaleta janja ya nyani....kwisha jua nyie...kajengeni kibaha huko mji wetu tuachieni!mliukuta na mtatuachia Dar sio Dubai na haiwezi kuwa hivyo kamwe...ebo!!!
 
NSSF ni moja kati ya mifuko ya hifadhi ya jamii inayolipa mafao duni kwa wanachama wake, ndio maana wanazo fedha nyingi za kuchezea. Huduma zao ni mbovu, ukifungua madai bila kutoa chochote hulipwi kwa wakati.
 
Back
Top Bottom