Dar es Salaam kila baada ya mita tatu kuna ndoo ya maji na kitakasa mikono, hivi mbona Marekani utaratibu huu umewashinda, au ndoo kwao ni ghali sana?

CCM akili zenu mmeziacha sehemu za ****

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu haufanani na hili swali.
Hayo mandoo unayoyaona ni umasikini. Yana potray high level of poverty
 
wazungu hawatumii maji kunawa, hata chooni wanatawaza na toilet paper, hakuna maji, migahawani wanakula kwa vijiko, umma, tissue hawanawi mikono, wazungu wachafu sana,. ndio maana muda wote wananuka.
 
Nimesema Marekani maji kuna maji tiririka katika sehemu nyingi. Kwanza kuzuia maambukizi ya magonjwa. Kila mwenye mgahawa anatakiwa kuwa na maji tiririka kwa wafanyakazi kunawa mikono.
Kuna koki za maji tiririka kila baada ya mita tatu nje mitaani?
 
Mkuu huko marekani ni nyumba ngapi umeziona haziko connect na water supply system,kwamba hazina maji so zilazimike kutumia ndo Kama kwenu
Kuna koki nje za maji tiririka kila baada ya mita tatu ambapo mtu yeyote anaweza kunawa bila rugusa?
 
Mkuu huko marekani ni nyumba ngapi umeziona haziko connect na water supply system,kwamba hazina maji so zilazimike kutumia ndo Kama kwenu
Achen us.nge nyie. Hata marekan hukujui tuulize sis ambao tushazunguka huko..mtoa mada kaongelea mapambano ya korona..kunawa mikono mara kwa mara..maeneo yote..haya bank.maofisin na n.k bila vitirirsha maji temporaly kama ndoo unawezaje..maj tiririka unayosema huko marekan utayakuta wash rooms na jikoni..so unaenda bank kunawa ni lazima uingie choon..usitake danganya watu hapa..unaenda dukan.kunawa mikono lazima uende washroom ..wakat unasisitizwA kabla hujaingia kokote kuchangamana lazima unawe.na pia si kupaka sanitizer tuu kunawa maj tiririsha ni lazima..wamefail hapo na ndomana wanakufa sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu.wewe marekani unakojua hakuna maji au sanitizer ni marekani ipi na umejuaje kuwa Mimi Marekani sikujui?
 
Maji tiririka ni mbadala wa sanitizer kwa sisi masikini mkuu.I am sorry for you labda wewe umeifananisha U.S na melerani
 
Are you kidding?
Huku niliko hadi barabarani kuna mabomba ya maji ambako yanamwagika 24HRS ndivyo walivyoyaunda. (Sijasema wananawa haya)

Na tena sehemu kama hii ya chuo, unapoingia kwenye hall yoyote kuna mamashine kama fridge za ku-buy snacks chini yake kina sensa ambazo hazionekani unakanyaga hapo hivyo vipombe vinatoka unapakaa mikononi.

Unapoenda kwenye malls au store mbalimbali (bado zina operate) ila serikali ya jimbo wameweka restrictions za umbali wa kutembea, unanawa kwa mtindo huu huu. Hushiki chochote hata unapofanya malipo you don't touch anything!
 
Hahahahaha!

Ngoja nikuulize swali, Nchi kama hii yenye kila kitu cha kuhusu afya tena huduma ya hapa ya afya ni ya juu kuliko kokote duniani!
Mfano kama eneo naloishi hakuna wakazi wengi sana kwa sababu ni eneo la kiutafiti zaidi kuna hospital sita za serikali nilizoziona za binafsi ni utitiri na nyingi ni za wanyama. Ila watu wanakufa kwa maelfu japo hatuoni tunaziona tu data!

Tanzania tena hatuendi mbali Dar Es Salaam ambako ndio image ya hiyo nchi ukienda mwananyamala hupati dawa ukienda Amana unaweza ukafia kwenye kiti, ukienda Muhimbili hujuani na yeyote na unaumwa sana risk ya kurudisha namba kwa Mungu ni kubwa.
Wenye akili wengi hawapeleki wagonjwa wao muhimbili. Eti watu hawafi kwa corona funniest joke I've ever seen 😝😝
 
Kuna koki za maji tiririka kila baada ya mita 3?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…