Dar es salaam ikiweka lazima ya kuvaa miwani (clear glass) kama ilivyo kwa barakoa, basi tunaweza kuwa nchi ya kwanza kuishinda Corona

Kweli kabisa,zinapatikana maeneo gani hizi? Pharmacy au hardware?
Ila nasikia zina bei kidogo, nimeona wengine wanakata zile lamination plastic za kulaminate vyeti na ID, kisha wanafunga ribbon na kuvaa kama miwani, ni idea nzuri pia.
 
Dah! Hapo ndipo Helment zitakapopanda bei,tutakuwa tukionekana kama maroboti na Helment zetu mitaani. Ugonjwa huu mpaka uishe tatayashuhudia mengi.
Ila mimi nitakata tu laminating plastic na kuchonga miwani yangu, ili tamko likitolewa wiki ijayo niwe ninayo ya kwangu kabisa
 
Makonda alikusikia...Unatoa wiki moja...

Lol am i the only one spotting an exxagerated sense of self importance here.?
 
Ila mimi nitakata tu laminating plastic na kuchonga miwani yangu, ili tamko likitolewa wiki ijayo niwe ninayo ya kwangu kabisa
Chukua chupa ya plastic kama sikosei ile ya 10ltrs kama wewe ni mbunifu kidogo tu utapata helmet saafi kabisa very light and cheapest.
 
Nakuelewa sana mzee FRANCIS DA DON hii inaweza kuwa suluhu nzuri kuliko barakoa peke yake, tena barakoa zenyewe watu hata awaziheshimu unakuta mtangazaji wa tv, polisi, muuza mitumba amevaa barakoa nusu mlingoti, inasikitisha sana.
IMG_20200511_214042.jpg
 
Na ndio maana umeanzishwa utaratibu wa kuwachapa viboko hasa wale wanaopanda daladala bila barakoa, na utaratibu huu wa kuchapana viboko umesaidia sana
Lkn mkuu alisema hatuwezi kuishi kwa kutegemea mavitambaa mapuani.
 
Back
Top Bottom