Duh junction hatar sana hii.... Kuna taa za barabarani kweli hapo
Kama kuna traffic lights sawa
Hapo sawa kiongoziZipo Boss.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Skyscrapers zinapendezesha sana majiji.... Zingesambaa zaidi jiji lingekuwa poa sana.