Hapa ni wapi Mkuu?
YesTecno Camera?
Haya makitu bado yanapatikana?Hizi Mavitu unaweza kuenjoy kutizama kwa kutumia hii makitu
View attachment 1124080
Reality View kwa 3d ya kizamani... utotoni nilienjoy sana na hii kitu
View attachment 1124081
Jibu zuri
Mkuu hili sio lile jengo ambalo lipo Pembeni ya Sam Nujoma Road (Ubungo-Mwenge)? Ukitoka Mawasiliano Towers ndo linafuata lenyewe naona kama yanafanana
mkuu, right click image huko ulikoitoa, then chagua 'copy image url'.
halafu hapa JF kwenye sehemu ya ku-post, unaclick insert image', kile kibox kinacho-pop up, una-paste ile link..unakuwa umemaliza