coming up pretty well, Tanzanian's tallest pspf commercial twin towers, near harbour view
yatajengwa wapi?au yameshajengwa au yanajengwa tayari?
haya bwana nimekuwa mdogo haya majengo yote yapo kwenye plan ya jiji au wanaenga tu sehemu yoyote yenye upenyo
JIJI LA DAR BADO LIPO EMPTY SANA IMO, CHA MUHIMU NI MIUNDOMBINU MUHIMU IJENGWE NA IIMARISHWE JIJI LITAPITIKA NA TUTASAVE ARDHI NA KUACHANA NA MIGOGORO, KWA SASA UKIPANDA NDEGE NA UANGALIE WATU WALIVYOSAMBAA NA KUHARIBU ENEO KUBWA KWA MAKAZI YASIYO NA MPANGO, SERIKALI YETU INGEKUA MAKINI AU WANAOJIITA JIJI (SIJUI KAMA TUNAO AU HUKO KICHWANI KUNAGONGA) WANGEPANGA MJI VIZURI WATU WANGEJENGEWA KWA MPANGILIO JIJI LISINGESAMBAA HATA KUFIKA UWANJA WA NDEGE, KAMA SERIKALI INGEJENGA NYUMBA ZA KAWAIDA NA FAMILIA KUMI AU TANO ZIKAKAA NYUMBA MOJA YENYE GOROFA TATU HADI TANO, WANGESAVE MAENEO KWA AJILI YA VITU VINGINE MUHIMU, ANGALIA PICHA HII CHINI, NA TAFAKARI TUNAKOKWENDA, NA HAPO BADO MBAGALA HAIONEKANI, VIJUMBA VYOTE HIVYO VINGKUSANYWA NA KUWEKWA ENEO MOJA ZURI LIKAJENGEWA BARABARA NA MIUNDOMBINU MINGINE, SIDHANI KAMA WANGESAMBAA HIVI
http://www.flickr.com/photos/aneye4apicture/5402161425/
Flickr 上 aneye4apicture 的 Dar Es Salaam, Tanzania
Ndinda mimi nilijua wewe upo kwenye hii wizara /mamalaka ya JIJI..hapo nilipopigia mstari ni kitu ambacho ni so simple kufanya and easy lakini hawataki kuweka miji yetu kwenye plan..wewe unafikiri kwa nini? exposure hawana kabisa? au hawana elimu/hawakusoma?